CCM yahaha kuwaokoa mawaziri waliobwagwa
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
KATIKA kile kinachoweza kutafsiriwa kama njia ya kuwaokoa mawaziri waliobwagwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kamati Kuu (CC) imefuta matokeo ya awali na kutangazwa kufanyika upya kwa uchaguzi upya kwenye majimbo matano.
Kutokana na kufutwa kwa matokeo hayo, CC imeamuru kurudiwa kwa kura za maoni kesho, na matokeo yake kuwasilishwa haraka ngazi za juu kwa ajili ya uamuzi wa mwisho.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Katibu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Aug
CCM yawatosa mawaziri waliobwagwa ubunge
Patricia Kimelemeta na Esther Mbussi, Dar es Salaam
LICHA ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) kuamuru kurudiwa uchaguzi katika baadhi ya majimbo yakiwamo yaliyokuwa yanaongozwa na mawaziri wa Rais Jakaya Kikwete, hatimaye chama hicho kimewatosa rasmi.
Kutoswa kwa mawaziri hao kunatokana na kushindwa kwao kwenye kura za maoni za marudio ambako pia wana CCM wamebwaga katika mchakato huo na kusubiri hatima ya Kamati Kuu ya chama hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu...
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
CCM yahaha kutafuta mgombea Zanzibar
HARAKATI za kutafuta mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani zimezidi kushika kasi ambapo safari hii baadhi ya majina kutoka Zanzibar yanatajwa tajwa kumrithi Rais...
9 years ago
Habarileo15 Aug
Mawaziri 11 waanguka CCM
SASA ni dhahiri kuwa mawaziri 11 wa Serikali ya Awamu ya Nne inayomaliza muda wake, wametoswa katika mbio za kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati yao wakiwemo watatu ambao kura katika majimbo yao zilirudiwa baada ya kulalamikiwa.
11 years ago
BBCSwahili08 May
Wito wa kuwaokoa wasichana Nigeria
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Nigeria yashinikizwa kuwaokoa wasichana
11 years ago
Habarileo24 Jan
CCM yaonya mawaziri wake
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimelihadharisha Baraza jipya la Mawaziri hasa mawaziri waliolalamikiwa na kurejeshwa, kuwa wanapaswa kuwajibika ipasavyo vinginevyo chama hakitasita kuwachukulia hatua. Aidha, kimetetea uamuzi wake wa kufanya ziara mikoani na kukosoa baadhi ya watendaji wakiwamo mawaziri na kusisitiza kuwa uamuzi huo ulitokana na mkutano mkuu wa chama hicho na una lengo la kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya chama hicho na si malengo binafsi.
9 years ago
Habarileo18 Aug
CC ya CCM yathibitisha anguko la mawaziri
KAMATI Kuu (CC) ya CCM jana ilikamilisha uteuzi wa wagombea ubunge katika majimbo 11 yaliyokuwa na dosari ambapo sasa wabunge wa zamani, Profesa Peter Msolla, Dk Binilith Mahenge, Dk Seif Rashid, Vita Kawawa, Gaudence Kayombo na Dk Titus Kamani wamekwama katika kutetea nafasi hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
CCM Moro yatetea mawaziri
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, kimesema wabunge wake waliopo kwenye nyadhifa za uwaziri sio mizigo kwa kuwa wameonekana kufanya kazi vizuri. Wabunge wa Mkoa wa Morogoro ambao wamo...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...