CCM yaonya mawaziri wake
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimelihadharisha Baraza jipya la Mawaziri hasa mawaziri waliolalamikiwa na kurejeshwa, kuwa wanapaswa kuwajibika ipasavyo vinginevyo chama hakitasita kuwachukulia hatua. Aidha, kimetetea uamuzi wake wa kufanya ziara mikoani na kukosoa baadhi ya watendaji wakiwamo mawaziri na kusisitiza kuwa uamuzi huo ulitokana na mkutano mkuu wa chama hicho na una lengo la kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya chama hicho na si malengo binafsi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
MRT SACCOS yaonya wanachama wake
CHAMA cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha walimu Moshi vijijini (MRT SACCOS) kimetoa siku 40 kwa baadhi ya wanachama wake kurejesha fedha za mikopo na wasipofanya hivyo watafungiwa kupata...
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Magufuli kuwasainisha mikataba mawaziri wake
NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama atafanikiwa kuingia madarakani, atawasainisha mikataba maalumu ya kazi mawaziri wake kabla ya uteuzi.
Amesema lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha anakuwa na mawaziri wanaokwenda kwa wananchi badala ya kukaa ofisini wakiandika madokezo.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya kampeni wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani na Ukonga, Dar es...
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Rais Mugabe atimua mawaziri wake
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Rais Jakaya Kikwete ana mkosi gani na mawaziri wake?
9 years ago
Habarileo15 Aug
Mawaziri 11 waanguka CCM
SASA ni dhahiri kuwa mawaziri 11 wa Serikali ya Awamu ya Nne inayomaliza muda wake, wametoswa katika mbio za kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati yao wakiwemo watatu ambao kura katika majimbo yao zilirudiwa baada ya kulalamikiwa.
9 years ago
Habarileo18 Aug
CC ya CCM yathibitisha anguko la mawaziri
KAMATI Kuu (CC) ya CCM jana ilikamilisha uteuzi wa wagombea ubunge katika majimbo 11 yaliyokuwa na dosari ambapo sasa wabunge wa zamani, Profesa Peter Msolla, Dk Binilith Mahenge, Dk Seif Rashid, Vita Kawawa, Gaudence Kayombo na Dk Titus Kamani wamekwama katika kutetea nafasi hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
CCM Moro yatetea mawaziri
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, kimesema wabunge wake waliopo kwenye nyadhifa za uwaziri sio mizigo kwa kuwa wameonekana kufanya kazi vizuri. Wabunge wa Mkoa wa Morogoro ambao wamo...