Kitwanga asema hana orodha ya wauza mihadarati
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema hana orodha ya majina ya watu wanaouza dawa za kulevya na hana muda wa kushughulika na hiyo inayoitwa orodha. Badala yake, amesema chini ya uongozi wake ataweka mifumo itakayosaidia kudhibiti uingizaji wa dawa hizo nchini. Akizungumza jana na waandishi wa habari Dar es Salaam baada ya kufanya kikao na maofisa wa ngazi ya juu wa Polisi, Kitwanga alisema wamekubaliana kuhakikisha dawa za kuleya zilizoko nchini zinakamatwa na kuteketezwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Waziri Kitwanga aikimbia orodha ya wauza unga
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amepata kigugumizi kuweka hadharani orodha ya majina ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya, licha ya kuliagiza Jeshi la Polisi limpatie.
Amesema hata akiwa na orodha hiyo, haitasaidia kukomesha biashara ya dawa za kulevya na badala yake wameunda mfumo utakaosaidia kudhibiti dawa hizo kuingizwa nchini.
Waziri Kitwanga, alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana, muda mfupi baada ya kumalizika kikao chake na maofisa...
9 years ago
MichuziORODHA YA WAUZA DAWA ZA KULEVYA HAINISADII-KITWANGA
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Indonesia yawanyonga wauza mihadarati
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Wauza mihadarati Mexico wajipange
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya
Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana na dawa za kulevya, ugaidi na kesi za kubambikiwa. Hii ni baada ya kukamilisha ziara zake alizozifanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi za Jeshi la Polisi. […]
The post Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Habarileo26 Dec
Niyonzima asema hana furaha
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema hana furaha kuwa nje ya Yanga na kuwataka mashabiki kuwa wavumilivu kwani suala lake linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya kuwasilisha maelezo yake kwa uongozi.
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Gerrard asema Balotelli hana 'heshima'
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Mndolwa asema hana mpango na ubunge
NA MOHAMMED ISSA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Vijijini, Dk. Edmund Mndolwa, amesema hafanyi ziara kwa lengo la kutaka ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini.
Amesema anafanya kazi kama mjumbe wa NEC, kutoka wilaya hiyo na kwamba lengo la ziara zake ni kukijenga Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jana, Dk. Mndolwa alisema hajawahi kufanya kampeni yoyote katika ziara zake hizo na kwamba lengo la ziara zake...
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Kocha asema Adebayor hana nidhamu