Wauza mihadarati Mexico wajipange
Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto ametangaza vita kati ya serikali za manispaa ya nchi hiyo na magenge ya wauza mihadarati.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Indonesia yawanyonga wauza mihadarati
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati
9 years ago
Habarileo22 Dec
Kitwanga asema hana orodha ya wauza mihadarati
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema hana orodha ya majina ya watu wanaouza dawa za kulevya na hana muda wa kushughulika na hiyo inayoitwa orodha. Badala yake, amesema chini ya uongozi wake ataweka mifumo itakayosaidia kudhibiti uingizaji wa dawa hizo nchini. Akizungumza jana na waandishi wa habari Dar es Salaam baada ya kufanya kikao na maofisa wa ngazi ya juu wa Polisi, Kitwanga alisema wamekubaliana kuhakikisha dawa za kuleya zilizoko nchini zinakamatwa na kuteketezwa.
11 years ago
Habarileo17 Jul
Waziri ataka Bunge la Katiba wajipange
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar wametakiwa kujipanga upya katika mchakato wa Bunge lijalo kwa ajili ya kuzipatia ufumbuzi kero za Muungano.
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Majaji wajipange kupokea kesi za Uchaguzi
10 years ago
GPLMALAIKA: KWA PENZI LANGU, MAPEDESHEE WAJIPANGE
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Wasanii wajipange kuepuka aibu ya kutembeza bakuli
KUCHANGIANA ni utaratibu unaofanyika katika kila jamii ya watu walioishi vema, hasa kwa mazingira ya Kitanzania, jambo ambalo limekuwepo tangu enzi. Kwamba, mtu akipata tatizo, uwe msiba au uzazi, ilikuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HnOpTiyGrBA/VXnHxiZs_nI/AAAAAAAAvik/ZLH-IHn63IU/s72-c/officiallinah1.jpg)
LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...
![](http://3.bp.blogspot.com/-HnOpTiyGrBA/VXnHxiZs_nI/AAAAAAAAvik/ZLH-IHn63IU/s640/officiallinah1.jpg)
LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmimpenzi wake mpya ambaye amedai ni msaniimkubwa wa nchini Nigeria.LinahAkizungumza na kipindi cha Planet Bongo chaEast Africa Radio, Linah alisema anampendampenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,ataamua kumweka wazi ili mashabikiwamtambue.“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwasana, yaani huyo nampenda na hii sio project iporeal, mtamuona tu...