Majaji wajipange kupokea kesi za Uchaguzi
Watanzania watakuwa wamehamasishwa na kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman kwamba chombo hicho kinatambua fika kwamba amani ya Taifa iko mikononi mwa mhimili huo wa Dola hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAJAJI WAENDESHA MAHAKAMA YA WAZI KUSIKILIZA NA KUPOKEA MALALAMIKO YA WAKULIMA
11 years ago
Habarileo13 Jun
Kesi Mbunge huru yapangiwa majaji
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa Mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa jopo la majaji watatu.
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Majaji wakorogana kesi ya Kisena, Msama
JAJI wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, Robert Mziray, anayesikiliza kesi ya mzozo wa ardhi kati ya mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena na mfanyabiashara, Alex Msama, amedaiwa kutoa...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
MASHAURI: Majaji wawili kusikiliza kesi 11 za mauaji Moshi
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Majaji wazidi kujitoa kesi ya Prof. Mwaikusa
MAJAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wamezidi kujitoa katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria, Prof. Juan...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu
11 years ago
Habarileo27 Jan
Majaji wapishana uamuzi kesi ya Kampuni ya AMI Tanzania
MAJAJI watatu wa Mahakama ya Rufani wametofautiana katika kutoa uamuzi wa kesi ya malipo ya Sh bilioni tano inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa Kampuni ya AMI Tanzania.
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
![IMG_0113](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0113.jpg)
10 years ago
MichuziMAJAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAFUNDWA JUU YA USIKILIZAJI WA MASHAURI YA UCHAGUZI
Hayo yalisemwa katika risala yake iliyosomwa na Mhe. Jaji Edward Rutakangwa, Jaji wa Mahakama ya Rufaa (T) kwa niaba ya Mhe. Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman alipokuwa akifungua rasmi Warsha ya siku mbili (2) ya Uhamasishaji wa Wahe. Majaji juu ya utatuzi wa migogoro ya Uchaguzi “Judges Sensitization...