Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaji wazidi kujitoa kesi ya Prof. Mwaikusa

MAJAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wamezidi kujitoa  katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria, Prof. Juan...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Jaji Kaduri ajitoa kesi ya mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa

JAJI Lawrence Kaduri wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya watu watatu akiwemo aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria, Profesa Jwani Mwaikusa.

 

10 years ago

Habarileo

Nishati wazidi kumbeba Prof. Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAKATI Watanzania wakisubiri uchunguzi unaofanywa na Serikali kuhusu utoaji wa fedha Sh bilioni 182.77 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), taarifa zaidi zimebainisha kuwa uongozi wa miaka miwili ya Wizara ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Profesa Sospeter Muhongo, umefanikisha ongezeko la umeme katika Gridi ya Taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi Mbunge huru yapangiwa majaji

KESI ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa Mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa jopo la majaji watatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majaji wakorogana kesi ya Kisena, Msama

JAJI wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, Robert Mziray, anayesikiliza kesi ya mzozo wa ardhi kati ya mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena na mfanyabiashara, Alex Msama, amedaiwa kutoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Majaji wajipange kupokea kesi za Uchaguzi

Watanzania watakuwa wamehamasishwa na kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman kwamba chombo hicho kinatambua fika kwamba amani ya Taifa iko mikononi mwa  mhimili huo wa Dola hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu

Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeanza mchakato wa kusikiliza kesi dhidi ya Bunge la Katiba baada ya kupanga jopo la majaji wa kuisikiliza.

 

11 years ago

Mwananchi

MASHAURI: Majaji wawili kusikiliza kesi 11 za mauaji Moshi

>Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imeanza vikao vya usikilizwaji wa kesi za mauaji 11 na miongoni mwa kesi hizo ni ya mauaji ya kutisha ya mtoto wa kiume wa miaka minne.

 

11 years ago

Habarileo

Majaji wapishana uamuzi kesi ya Kampuni ya AMI Tanzania

MAJAJI watatu wa Mahakama ya Rufani wametofautiana katika kutoa uamuzi wa kesi ya malipo ya Sh bilioni tano inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa Kampuni ya AMI Tanzania.

 

10 years ago

Mtanzania

Ulinzi wazidi kuimarishwa kesi za ugaidi

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
JESHI la Magereza mkoani hapa limezidi kuimarisha ulinzi ndani na nje ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakati wa kesi za watuhumiwa 60 wa matukio tofauti ya kigaidi.

Wakati ulinzi ukiimarishwa, mtuhumiwa mpya wa matukio ya kigaidi, Buchumi Hassan, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka yake na kuunganishwa na watuhumiwa wenzake 60 na kufanya idadi yao kufikia 61.

Kwa wiki kadhaa sasa kulikuwa na ulinzi mkali wa askari magereza eneo hilo wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani