Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaji wapishana uamuzi kesi ya Kampuni ya AMI Tanzania

MAJAJI watatu wa Mahakama ya Rufani wametofautiana katika kutoa uamuzi wa kesi ya malipo ya Sh bilioni tano inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa Kampuni ya AMI Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Majaji watofautiana maombi ya AMI

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, wameshindwa kufikia uamuzi wa pamoja katika kesi ya malipo ya Sh5 bilioni inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa zamani wa Kampuni ya AMI Tanzania Limited.

 

10 years ago

Mwananchi

Majaji wajipange kupokea kesi za Uchaguzi

Watanzania watakuwa wamehamasishwa na kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman kwamba chombo hicho kinatambua fika kwamba amani ya Taifa iko mikononi mwa  mhimili huo wa Dola hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi Mbunge huru yapangiwa majaji

KESI ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa Mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa jopo la majaji watatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majaji wakorogana kesi ya Kisena, Msama

JAJI wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, Robert Mziray, anayesikiliza kesi ya mzozo wa ardhi kati ya mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena na mfanyabiashara, Alex Msama, amedaiwa kutoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu

Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeanza mchakato wa kusikiliza kesi dhidi ya Bunge la Katiba baada ya kupanga jopo la majaji wa kuisikiliza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majaji wazidi kujitoa kesi ya Prof. Mwaikusa

MAJAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wamezidi kujitoa  katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria, Prof. Juan...

 

11 years ago

Mwananchi

MASHAURI: Majaji wawili kusikiliza kesi 11 za mauaji Moshi

>Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imeanza vikao vya usikilizwaji wa kesi za mauaji 11 na miongoni mwa kesi hizo ni ya mauaji ya kutisha ya mtoto wa kiume wa miaka minne.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi pingamizi kesi ya Pinda Apr 17

Hatima ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda sasa itajulikana Aprili 17, 2014, wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa.

 

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani