Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaji watofautiana maombi ya AMI

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, wameshindwa kufikia uamuzi wa pamoja katika kesi ya malipo ya Sh5 bilioni inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa zamani wa Kampuni ya AMI Tanzania Limited.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Majaji wapishana uamuzi kesi ya Kampuni ya AMI Tanzania

MAJAJI watatu wa Mahakama ya Rufani wametofautiana katika kutoa uamuzi wa kesi ya malipo ya Sh bilioni tano inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa Kampuni ya AMI Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM watofautiana Serikali mbili

Baadhi ya wabunge wa CCM ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamepinga msimamo wa chama hicho unaowataka kutetea muundo wa Serikali mbili katika mijadala ya Bunge hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msimamo kuhusu Iran watofautiana

Wajumbe wa mazungumzo ya mpango nyuklia wa Iran wanaokutana nchini Switzerland kutafuta suluhu ya pamoja.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanayanga watofautiana kwa Chuji

Dar es Salaam. Sakata la kiungo Athuman Idd ‘Chuji’ limeendelea kuchukua sura mpya Yanga baada ya baadhi ya  wazee wa klabu hiyo kupinga kuachwa kwake.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Ghasia, Kafulila watofautiana

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Hadija NyemboMBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia jana walitofautiana bungeni kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha zinazomkabili Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Hadija Nyembo.

 

10 years ago

Mwananchi

TCCIA, wafanyabiashara watofautiana Mwanza

Mvutano mkali umeibuka kati ya Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Mwanza (JMWM) kwenye kikao na Mkurugenzi wa jiji, Halfa Hida.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakaazi watofautiana na jeshi Maiduguri

Jeshi la Nigeria limesema kuwa limefaulu kusambaratisha shambulio la pili la Boko Haram licha ya wakaazi kupinga hilo

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani, Tume watofautiana uandikishaji Zanzibar

Tume yatoa siku mbili kila kituo kukamilisha kazi ya kuandikisha wapiga kura, wapinzani wadai muda huo hautoshi.

 

11 years ago

KwanzaJamii

TIBAIJUKA, NDUNGULILE WATOFAUTIANA KUHUSU KIGAMBONI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameendelea kutofautiana na Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile, kuhusiana na ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni. Hali hiyo ilijitokeza jana jijini Dar es Salaam walipokutana katika mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa jimbo hilo, wakiwamo madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa. Profesa Tibaijuka alimtaka Dk. Ndungulile kuacha kuwapotosha wananchi kuwa mradi mpya wa Kigamboni haupo, badala yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani