Wanayanga watofautiana kwa Chuji
Dar es Salaam. Sakata la kiungo Athuman Idd ‘Chuji’ limeendelea kuchukua sura mpya Yanga baada ya baadhi ya wazee wa klabu hiyo kupinga kuachwa kwake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Wanayanga kuandamana
>Klabu ya Yanga imeomba kibali cha kufanya maandamano hadi ikulu kuushinikiza uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam kutoa majibu ya maombi yao heka 11 kwa ajili ya upanuzi wa Uwanja wa Kaunda.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Chuji aiangukia Yanga
SIKU chache baada ya kiungo nyota wa Klabu ya Yanga, Athuman Idd ‘Chuji’ kusimamishwa kwa utovu wa nidhamu kwa muda usiojulikana, ameandika barua kwa uongozi wake kuomba radhi. Mwishoni mwa...
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Chuji asamehewa Yanga
Uongozi wa Yanga umemrejesha kundini, kiungo Athuman Iddi ‘Chuji’ aliyekuwa akitumikia adhabu ya kusimamishwa kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Chuji atua Azam
Hata hivyo, kiungo huyo mwenyeji wa Dodoma ameibukia Azam FC na taarifa za ndani zinasema klabu hiyo imempa mkataba mfupi wa miezi sita ili kumwangalia kwanza mwenendo wake na kama itajiridhisha watamwongezea.
11 years ago
GPL
Chuji asimamishwa Yanga
Athumani Idd ‘Chuji’ Ally Kamwe na Hans Mloli
HALI si shwari kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga baada ya juzi Jumamosi uongozi wa timu hiyo kuwapa barua za onyo kuhusu utovu wao wa nidhamu na mambo mengine klabuni hapo. Imeelezwa kuwa, juzi kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’, alipewa barua ya kusimamishwa klabuni hapo kwa siku zisizojulikana huku nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’,...
11 years ago
Mwananchi19 Feb
CCM watofautiana Serikali mbili
Baadhi ya wabunge wa CCM ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamepinga msimamo wa chama hicho unaowataka kutetea muundo wa Serikali mbili katika mijadala ya Bunge hilo.
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Wakaazi watofautiana na jeshi Maiduguri
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limefaulu kusambaratisha shambulio la pili la Boko Haram licha ya wakaazi kupinga hilo
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Majaji watofautiana maombi ya AMI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, wameshindwa kufikia uamuzi wa pamoja katika kesi ya malipo ya Sh5 bilioni inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa zamani wa Kampuni ya AMI Tanzania Limited.
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Msimamo kuhusu Iran watofautiana
Wajumbe wa mazungumzo ya mpango nyuklia wa Iran wanaokutana nchini Switzerland kutafuta suluhu ya pamoja.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania