Chuji asimamishwa Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSiZyCoYOXmcRx5KaDN9SfoRwaFYDOee-iOieM7F4R7M0KwCequN8cj9JM-RILghprsgEi5jDsl21FqB9kBh9xC/KIUNGOCHIJI.jpg?width=650)
Athumani Idd ‘Chuji’ Ally Kamwe na Hans Mloli HALI si shwari kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga baada ya juzi Jumamosi uongozi wa timu hiyo kuwapa barua za onyo kuhusu utovu wao wa nidhamu na mambo mengine klabuni hapo. Imeelezwa kuwa, juzi kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’, alipewa barua ya kusimamishwa klabuni hapo kwa siku zisizojulikana huku nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’,...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania