Masikini Chuji, Yanga yatua, apigwa danadana
![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVdDkfuN9lynwpZ5YNuCZE8Lqq3kE91uSWAE8GfpuqZ-tXvdgl4Tb5Yb6wkXnN-cFyhBcrsgrxpKMquZG5M5-7jE/MASIKINICHUJI.jpg?width=650)
Athumani Idd ‘Chuji’. Musa Mateja na Khadija Mngwai WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajiwa kuwasili nchini leo alfajiri kutoka Uturuki kilipokuwa kimeweka kambi kwa muda wa wiki mbili, sakata la kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’ limeonekana kutozingatiwa ambapo hakuna anayefuatilia juu ya adhabu yake. Chuji alisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu, hakwenda Uturuki...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Chuji asamehewa Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSiZyCoYOXmcRx5KaDN9SfoRwaFYDOee-iOieM7F4R7M0KwCequN8cj9JM-RILghprsgEi5jDsl21FqB9kBh9xC/KIUNGOCHIJI.jpg?width=650)
Chuji asimamishwa Yanga
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Chuji aiangukia Yanga
SIKU chache baada ya kiungo nyota wa Klabu ya Yanga, Athuman Idd ‘Chuji’ kusimamishwa kwa utovu wa nidhamu kwa muda usiojulikana, ameandika barua kwa uongozi wake kuomba radhi. Mwishoni mwa...
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Yanga yamtosa Chuji CAF
11 years ago
TheCitizen17 May
Yanga offload ‘Chuji’, Kaseja wants to leave
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Julio: Yanga SC walifanya kosa kumtema Chuji
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjX7-RCaOoJBTWmX2j8t4F*mEMY7e0iQTpqc-eJk1Vn6lPHg3Y*9BpF4Y5EHx6Kts54zHw7b0sydkW-jhHHBV7IU/yanga.jpg?width=650)
YANGA YATUA PEMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuB-mBJ*MZfEAQyxLZNZewryRoeKVpDCxJjWNng16SEbXmVvKjaqu9Nz9jWrdqtz4DxQAXorRUjcMVX*BZlXHYDt/okpkl.gif?width=650)
Yanga yatua kwa Wawa