Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga offload ‘Chuji’, Kaseja wants to leave

>Mainland giants Young Africans have axed three players as they restructure ahead of next season’s Premier League and international club competitions.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Chuji asimamishwa Yanga

Athumani Idd ‘Chuji’ Ally Kamwe na Hans Mloli
HALI si shwari kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga baada ya juzi Jumamosi uongozi wa timu hiyo kuwapa barua za onyo kuhusu utovu wao wa nidhamu na mambo mengine klabuni hapo. Imeelezwa kuwa, juzi kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’, alipewa barua ya kusimamishwa klabuni hapo kwa siku zisizojulikana huku nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’,...

 

11 years ago

Mwananchi

Chuji asamehewa Yanga

Uongozi wa Yanga umemrejesha kundini, kiungo Athuman Iddi ‘Chuji’ aliyekuwa akitumikia adhabu ya kusimamishwa kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chuji aiangukia Yanga

SIKU chache baada ya kiungo nyota wa Klabu ya Yanga, Athuman Idd ‘Chuji’ kusimamishwa kwa utovu wa nidhamu kwa muda usiojulikana, ameandika barua kwa uongozi wake kuomba radhi. Mwishoni mwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yamtosa Chuji CAF

Balaa limeendelea kumwandama kiungo Athumani Idd ‘Chuji’ baada ya kutoswa kwenye kikosi cha Yanga kitakachoshiriki Ligi ya Mabingwa msimu huu.

 

10 years ago

Vijimambo

MECHI 15 LANGONI AKIWA YANGA NA KARUHUSU GOLI 10 YANGA YA SEMA NENDA KASEJA







YANGA SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Juma Kaseja, iliyemsajili kwa Sh. Milioni 40 Novemba 8, mwaka juzi.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari leo katika hoteli ya Zanzibar Ocean View visiwani hapa kwamba, hatua hiyo imefikiwa baada ya mchezaji huyo kuanza kujiengua katika timu.“Tumefikia uamuzi wa kuachana na Kaseja, baada ya yeye mwenyewe kuanza kujiengua katika timu,”amesema MuroMwishoni mwa mwaka jana, Kaseja...

 

10 years ago

Mwananchi

Julio: Yanga SC walifanya kosa kumtema Chuji

Kocha wa Mwadui FC , Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema kuwa si Simba wala Yanga kwa sasa yenye kiungo bora  zaidi ya kiungo wake mzoefu, Athumani Idd ‘Chuji’.

 

11 years ago

GPL

Masikini Chuji, Yanga yatua, apigwa danadana

Athumani Idd ‘Chuji’. Musa Mateja na Khadija Mngwai
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajiwa kuwasili nchini leo alfajiri kutoka Uturuki kilipokuwa kimeweka kambi kwa muda wa wiki mbili, sakata la kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’ limeonekana kutozingatiwa ambapo hakuna anayefuatilia juu ya adhabu yake. Chuji alisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu, hakwenda Uturuki...

 

10 years ago

Mtanzania

Kaseja atimuliwa Yanga

kasejaJUDITH PETER NA SAADA AKIDA
KLABU ya soka ya Yanga, imevunja mkataba wake na kipa, Juma Kaseja, kwa kushindwa kufuata kanuni na masharti yaliyowekwa na uongozi wa klabu hiyo, kuchelewa kuripoti kambini kwa saa 48 na kutohudhuria mazoezi.
Yanga ilitoa tahadhari kuwa mchezaji yeyote ambaye atashindwa kuripoti kambini ndani ya saa 48 na kukosa mazoezi bila ruhusa maalumu ya kocha, atakuwa amevunja mkataba wake na kujifukuzisha kazi.
Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza wa Yanga kukumbwa na adhabu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani