Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku za ‘wauza unga’ China zahesabika

Siku za wasafirishaji na wauzaji wa dawa za kulevya kwenda China sasa zinahesabika baada ya Jeshi la Polisi na kitengo chake cha Dawa za Kulevya kubaini majina ya vigogo wanaofanya shughuli hiyo na kusema imeanza kuwashughulikia kimyakimya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ujumbe wa simanzi wa wauza ‘unga’ China

Wanakuja kwa makundi. Wake kwa waume, vijana kwa wazee, wenye elimu na historia tofauti za kimaisha... lakini kilichowaleta China, Hong Kong na Macau ni kimoja tu; biashara ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Mwananchi

JK: Wauza unga hawatanyongwa

Bagamoyo. Rais Jakaya Kikwete amesema amesaini sheria mpya ya dawa za kulevya ya mwaka 2015, itakayoanza kutumika kabla ya Oktoba na wauzaji wake hawatanyongwa bali watafungwa maisha.

 

9 years ago

Global Publishers

Vigogo wauza unga wakamatwa

athumanNa Makongoro Oging’, UWAZI
DAR ES SALAAM: WALE vigogo wanaosadikiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya ‘unga’ nchini wameanza ‘kutumbuliwa majipu’ kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kuanza kuwakamata, Uwazi linakupa zaidi.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu ndani ya jeshi hilo, vigogo wengi wanaojihusisha na biashara hiyo walikamatwa wiki iliyopita katika maeneo ya Kinondoni, Ilala na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakanusha wauza ‘unga’ kunyongwa

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imekanusha madai kuwa Watanzania 160 wamenyongwa nchini China baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya.

 

11 years ago

GPL

NDOA YA ROSE NDAUKA SIKU ZAHESABIKA

Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka akiwa na familia yake. Cherekochereko! Baada ya maswali ya muda mrefu na kwamba ndoa hakuna, hatimaye mipango kabambe ya ndoa ya staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na mchumba’ke, Malick Bandawe imekamilika ambapo sasa siku zinahesabika. Kwa mujibu wa Malick ambaye pia ni msanii, kulikuwa na maandalizi ambayo yalikuwa yakiendelea hivyo kwa sasa kila kitu kipo sawa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yalaumiwa kuwaficha wauza ‘unga’

SERIKALI imelaumiwa kwa kushindwa kuyaweka hadharani majina ya vigogo wanaojihusisha na dawa ya kulevya. Lawama hizo zilitolewa mjini hapa jana na Padri Baptisti Mapunda wa Shirika la White Fathers la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauza ‘unga’ waja na mbinu mpya

WAKATI serikali inafanya juhudi kupambana na wasafirishaji na waingizaji wa dawa za kulevya, wafanyabiashara hao wamebuni mbinu mpya ya kuweka ‘unga’ huo kwenye vitabu na viatu na kisha kutuma kama...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wataka wauza ‘unga’ wanyongwe

SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wa mwaka 2014, unaopendekeza wanaobainika kufanya biashara hiyo, watozwe faini ya Sh bilioni moja au kifungo cha maisha.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yawakalia kooni wauza unga

Yaandaa mfumo utakaozuia mihadarati kuingia nchini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani