Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA ROSE NDAUKA SIKU ZAHESABIKA

Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka akiwa na familia yake. Cherekochereko! Baada ya maswali ya muda mrefu na kwamba ndoa hakuna, hatimaye mipango kabambe ya ndoa ya staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na mchumba’ke, Malick Bandawe imekamilika ambapo sasa siku zinahesabika. Kwa mujibu wa Malick ambaye pia ni msanii, kulikuwa na maandalizi ambayo yalikuwa yakiendelea hivyo kwa sasa kila kitu kipo sawa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AZIDI KULILIA NDOA

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka amezidi kulilia ndoa ambapo sasa ameonesha shauku ya kufunga hata ndoa ya mkeka ili kukata kiu yake ambayo amekuwa nayo kwa muda mrefu. Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka. Rose aliyejifungua hivi karibuni huku baba wa mtoto akijulikana kwa jina moja la Malick alisema hayo hivi karibuni nyumbani kwake Magomeni, Dar, ambako alikutana na mwandishi wetu aliyetaka...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: SITAZAA TENA NJE YA NDOA

Stori: Laurent Samatta
DIVA wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa alikosea kuzaa nje ya ndoa, na sasa hana mpango huo tena. Rose alisema suala la ujauzito wakati mwingine linaweza kumjia mtu bila kupenda lakini kwa sasa atajitahidi kuona anazaa akiwa ndani ya ndoa. Diva wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka. “Lolote linaweza kutokea lakini kiukweli kwa sasa nitakuwa makini kidogo na ninamuomba Mungu anisaidie...

 

10 years ago

Bongo Movies

Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta

Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta  imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa  msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.

Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka  alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.

  “Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa furaha kwa staa wa Filamu Bongo, Rose Ndauka, kwani aliweza kusheherekea siku yake ya kuzaliwa na baadhi ya mastaa wenzake waliyofurika ndani ya Hoteli ya Collossium iliyopo maeneo ya Kamata Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. Rose Ndauka (kushoto), akimlisha kipande cha keki rafiki yake mpendwa Jack Pentzel, muda mfupi baada ya zoezi la kulishana keki kuanza kwenye… ...

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

10 years ago

Mwananchi

Siku za ‘wauza unga’ China zahesabika

Siku za wasafirishaji na wauzaji wa dawa za kulevya kwenda China sasa zinahesabika baada ya Jeshi la Polisi na kitengo chake cha Dawa za Kulevya kubaini majina ya vigogo wanaofanya shughuli hiyo na kusema imeanza kuwashughulikia kimyakimya.

 

5 years ago

Michuzi

SIKU ZA WEZI WA MAGARI ZAHESABIKA, WAAGIZWA KUJISALIMISHA

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, Giles Muroto akionesha kwa wandishi wa habari bastola aina ya browning no.016975 ambayo wameikamata kwa kijana ambaye alikua akiimiliki kimakosa na kuitumia kufanyia uhalifu.Charles James, Michuzi TVASKARI wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) amesaidia kumkamata kijana mmoja jijini Dodoma akiwa na silaha Bastola aina ya browning yenye no.016975 akimiliki kinyume na sheria huku akiitumia kufanyia uhalifu.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Kamanda...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA HAKAMATIKI

Stori: Musa Mateja
Acha kabisa! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe kisha kurudi kwao, Kigogo jijini Dar, staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja. Staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka akiinjoi uhuru wa kuwa 'Single' Viwanja. Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda ambalo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani