WAHAMIAJI 2000 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERRANIAN
![](http://api.ning.com:80/files/AY5n-P37pIWNIEX1GdRWTmrZ00-LUs16X3bkJsRtbFOh*JoeZr9iDuaVnTdAvv0eOkJ94UaAdw3PCw-y67CAk2jpbGWJIkBc/01.jpg?width=650)
Wahamiaji wakiwa kwenye boti ndogo kabla ya kuokolewa. Walinzi wa pwani ya Italia wameongoza shughuli ya kuwaokoa wahamiaji 2,000 ambao walituma ishara ya kuwa taabani kwenye mashua nje ya pwani ya Libya. Baadhi ya wahamiaji waliookolewa. Bahari baina ya Libya na Italia, ndio njia inayotumiwa kwa muda mrefu na wakimbizi kutoka Afrika na Mashariki ya Kati, ili kuingia Ulaya.Umoja wa Mataifa umesema kuwa bahari ya Mediterranian...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Wahamiaji 2000 waokolewa baharini
10 years ago
BBCSwahili20 May
Wahamiaji waliokwama baharini waokolewa
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Wahamiaji waokolewa pwani ya Ulaya
11 years ago
BBCSwahili04 May
Wahamiaji haramu waokolewa nchini Sudan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yIRAODsxTEzecIgTq01SXaXikG2BQZ8nAwu5qVVjkOtNE6z2YG9Mmetv4QYsV-qWkX6cK4OeV-oGHIlxtdcrdzhJZKijdYM9/1.jpg?width=650)
WAHAMIAJI 7000 WALIOKWAMA BAHARINI WAOKOLEWA
10 years ago
BBCSwahili15 May
Wahamiaji 600 waokolewa na wavuvi Indonesia
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Wahamiaji 200 wafa bahari ya Mediterani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKOotTl4qDBeVdc4fmLOc4a923dvsIAK15EaZ5JgnFjp4VOw0Vm8Mn2wDDdHa9CDx4ZaUVafsBH-Dlb9SevvLGJW/WAHAMIAJI1.jpg?width=650)
WAHAMIAJI 900 WAFARIKI DUNIA BAADA YA MASHUA YAO KUZAMA BAHARI YA MEDITERRANEAN
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xVM5fKF5vog/Vkm6alwY2cI/AAAAAAAIGMg/L9m0GfRIMYQ/s72-c/IMG_5021.jpg)
WATANO WAOKOLEWA KATIKA MGODI WA NYANGARATA KAHAMA.
Waliookolewa katika mgodi huo kuwa ni Josef Burule, Chacha Wambura, Msafiri Gerald, Onyiwa Aindo na Amosi Mhangwa pia limtaja aliyefariki dunia ni Mussa...