Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANO WAOKOLEWA KATIKA MGODI WA NYANGARATA KAHAMA.

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.WATU watano wamepatikana wakiwa hai tangu Oktoba 5 mwaka huu walipofukiwa na kifusi cha mchanga katika mgodi wa wachimba wadogo wa mgodi wa Nyangarata wilaya ya Kahama  mkoani Shinyanga, watu hao waligundulika kuwepo ndani ya mgodi hou mita 100 kwenda chini ikiwa mtu mmoja amegundurika kuwa amefariki dunia.
Waliookolewa katika  mgodi huo kuwa ni Josef Burule, Chacha Wambura, Msafiri Gerald, Onyiwa Aindo na Amosi Mhangwa pia limtaja aliyefariki dunia ni Mussa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wahanga wa mgodi nyangarata wasimulia walivyoweza kuishi kwa siku 41 wakila wa dudu

Wahanga wa maafa ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Nyangarata wilayani Kahama mkoani Shinyanga takribani Siku 41 wakiwa chini ya Ardhi wamesema kuwa waliofanikisha kunusuru maisha yao kwa kula wadudu walipokuwa katika shimo hilo.

Hata hivyo kati ya wahanga 6 mmoja aliyetambulika kwa jina la Mussa Supana  alipoteza maisha na watano walinusurika na  kulazwa kwenye Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Kahama, huku viungo vyao vikiwa vimekakamaa na hali zao bado taabani kufuatia kukosa...

 

9 years ago

Vijimambo

MGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA.

Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader), George Mkanza-(Sustainability Manager), Amos John – (Commercial Manager and Acting Mine General Manager), Bahati Mwambene-Community relations section Leader na Magesa Magesa-(Stakeholder engagement & communications officer) Bwana Jamal Rwambol Security Operations Section Leader wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi akizungumza wakati...

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya mji wa Kahama yapokea ushuru wa asilimia 0.3 kutoka mgodi wa Buzwagi

Kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa Buzwagi uliopo kwenye halmashauri ya mji wa Kahama,imeipatia ushuru wa asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi halmashauri hiyo,ikiwa ni ushuru kwa kipindi cha miezi sita (Julai - Disemba,2014) ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800,uliokabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi  ulio chini ya Kampuni ya ACACIA,Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye ...

 

10 years ago

Michuzi

Basi lapiga mweleka huko Kahama leo,watu watano wadaiwa kupoteza maisha

Basi la Wibonela linalofanya safari zake kati ya Kahama - Dar limepinduka na kupelekea zaidi ya watano kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhi vibaya,ajali hiyo imetokea mapema leo katika eneo la Fantom nje kidogo ya mji wa Kahama. Chanzo kinaelezwa ni mwendo kasi uliopelekea kumshinda dereva wa basi hilo wakati akikata kona ya kuingia barabara kuu hali iliyopelekea basi kupinduka.  Taarifa kamili tunaendelea kuifatilia na tutaendelea kujuzana hapa hapa.Sehemu ya Mashuhuda wa ajali...

 

9 years ago

GPL

WAHAMIAJI 2000 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERRANIAN

Wahamiaji wakiwa kwenye boti ndogo kabla ya kuokolewa. Walinzi wa pwani ya Italia wameongoza shughuli ya kuwaokoa wahamiaji 2,000 ambao walituma ishara ya kuwa taabani kwenye mashua nje ya pwani ya Libya. Baadhi ya wahamiaji waliookolewa. Bahari baina ya Libya na Italia, ndio njia inayotumiwa kwa muda mrefu na wakimbizi kutoka Afrika na Mashariki ya Kati, ili kuingia Ulaya.Umoja wa Mataifa umesema kuwa bahari ya Mediterranian...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WATANO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA KUFUATIA AJALI YA BASI LA WIBONELA KUPINDUKA MJINI KAHAMA LEO



 Basi la Wibonela linalofanya safari zake kahama Dar limeua watu zaidi ya watano na kujeruhi wengi leo asubuhi eneo la Fantom Kahama. Chanzo ni mwendo kasi uliomshinda dereva wa basi hilo kukata kona ya kuingia barabara kuu hivyo kuruka nje na kusababisha basi hilo kupinduka. Na pia kibaka aliyekuwa anapekua na kuchomoa fedha na Vitu kwa majeruhi wa ajali hiyo amepigwa na kuchomwa moto hadi kufikia na watu wenye hasira kali. Mpaka sasa haijajulikana majeruhi ni wangapi na waliokufa ni...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAHENGE AFANYA ZIARA KATIKA MGODI WA NORTH MARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mhe. Dkt. Binillith S.Mahenge akipewa maelezo na Mkuu wa Wilaya ya Tarime alipowasili ofisini kwake kabla ya kuanza ziara ya kikazi katika Mgodi wa North Mara ulioko Wilaya ya Tarime. Meneja wa Mazingira Mgodi wa North Mara Bwana Thomas Morris akitoa Maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mhe. Dkt. Binillith S.Mahenge (hayupo pichani) alipotembelea Mgodi wa North Mara kukagua uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tunaangazia maisha ya mtoto katika mgodi nchini Ghana

Licha ya kwamba Ghana ina migodi mingi miongoni mwa wanaojihusisha na kazi hiyo ni watoto walioacha shule. Africa Eye inafuatilia simulizi ya Justice Afekey.

 

10 years ago

Michuzi

DC MPESYA AWAMWAGIA SIFA WAFANYAKAZI MGODI WA BUZWAGI, NI KATIKA SHEREHE ZA KUWAPATIA TUNZO



Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired behavior), kama kipimo cha utendaji bora wa kazi ambapo ni pamoja na kushirikiana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani