Tunaangazia maisha ya mtoto katika mgodi nchini Ghana
Licha ya kwamba Ghana ina migodi mingi miongoni mwa wanaojihusisha na kazi hiyo ni watoto walioacha shule. Africa Eye inafuatilia simulizi ya Justice Afekey.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
WATANO WAOKOLEWA KATIKA MGODI WA NYANGARATA KAHAMA.
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.WATU watano wamepatikana wakiwa hai tangu Oktoba 5 mwaka huu walipofukiwa na kifusi cha mchanga katika mgodi wa wachimba wadogo wa mgodi wa Nyangarata wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, watu hao waligundulika kuwepo ndani ya mgodi hou mita 100 kwenda chini ikiwa mtu mmoja amegundurika kuwa amefariki dunia.
Waliookolewa katika mgodi huo kuwa ni Josef Burule, Chacha Wambura, Msafiri Gerald, Onyiwa Aindo na Amosi Mhangwa pia limtaja aliyefariki dunia ni Mussa...
Waliookolewa katika mgodi huo kuwa ni Josef Burule, Chacha Wambura, Msafiri Gerald, Onyiwa Aindo na Amosi Mhangwa pia limtaja aliyefariki dunia ni Mussa...
11 years ago
MichuziMH. MAHENGE AFANYA ZIARA KATIKA MGODI WA NORTH MARA
5 years ago
CCM BlogKATIKA KUKABILIANA NA CORONA, MGODI WA BARRICK BUZWAGI WATOA MSAADA WA VIFAA SHINYANGA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...
10 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI MGODI WA NORTH MARA WATUZWA KWA UMAHIRI NA UMAKINI KATIKA KAZI


5 years ago
MichuziKATIKA KUKABILIANA NA CORONA, MGODI WA BARRICK BUZWAGI WATOA MSAADA WA VIFAA SHINYANGA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...
10 years ago
Michuzi
DC MPESYA AWAMWAGIA SIFA WAFANYAKAZI MGODI WA BUZWAGI, NI KATIKA SHEREHE ZA KUWAPATIA TUNZO

Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired behavior), kama kipimo cha utendaji bora wa kazi ambapo ni pamoja na kushirikiana...
10 years ago
Michuzi
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Wanafunzi wanaojihusisha katika biashara ya ngono kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu
Idadi inayoongezeka ya wanafunzi huuza picha za utupu na mengineyo katika mitandao ili kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu, utafiti umebaini.
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Jela maisha kwa kumdhalilisha mtoto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi, imemhukumu Athuman Mussa (54), mkazi wa Mtaa wa Nsemlwa Mjini, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumwingizia uume mdomoni...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania