Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano Mkuu wa Bandari za Africa na Ulaya Wafanyika Mombasa

 Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakisikiliza hotuba , Kushoto ni mjumbe  toka Afrika kusini katikati ni Mkurugenzi wa ICT TPA Ndg. Phares Magesa, na kulia ni Mkurugenzi Mkuu TPA Eng.Madeni Kipande  Ndg. Magesa akifuatilia mkutano huo Gavana wa County ya Kwale akitoa hotuba kwenye ufunguzi na kumkaribisha Mgeni rasmi kufungua mkutano huo Waziri wa Biashara na Viwanda wa Kenya Mhe. Adan Mohamed akitoa hotuba rasmi ya ufunguzi wa mkutano huo.Baadhi ya wajumbe kutoka kushoto ni Mkurugenzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mkutano kuhusu wahamiaji wafanyika Ulaya

Mawaziri kutoka nchi za Ulaya wanakutana nchini Luxembourg hii leo kuzungumzia mipango ya kukabiliana na maelfu ya wahamiaji

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano mkuu wa tatu wa Chama cha waandishi wa habari za uchaguzi wafanyika

Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa. Wajumbe wa mkutano wa tatu wa IPC wakifuatilia mkutano. Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAFANYIKA JIJINI DAR LEO

 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinti, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014.   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto), akimkaribisha mjumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimatifa, John Haule alipowasili kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa mwaka wa ECOBANK wafanyika leo jijini Dar es salaam

  Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa benki hiyo uliofanyika katika  Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre uliofanyika jijini Dar es Salaam  19 June 2015. 

 Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa benki hiyo
Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa benki hiyo Wanahisa na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII ZANZIBAR (ZATI) WAFANYIKA MJINI UNGUJA

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma (Mabodi) akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) katika Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) Bi. Pamela Mattheuu (aliesimama) akielezea hali ya Utalii ilivyo kwa sasa na kupanga mikakati ya kuitangaza zaidi sekta hiyo, huko Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TPCC WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited(TPCC), Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPCC, Alfonso Rodrigue na (kushoto) ni Company Secretary, Brian Kangetta. Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC) Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni...

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki wafanyika jijini Mwanza

 Mhe. Jaji Lawrence Gidudu, Rais wa Chama cha Majaji wa Afrika Mashariki (EAMJA) (wa tatu kushoto) akiendesha Mkutano wa Waheshimiwa Majaji na Mahakimu wa Jumuiya hiyo, Mkutano huo unahitishwa leo baada ya wajumbe hao kukubaliana kwa pamoja kuoresha huduma ya utoaji haki kwa umma. Wengine ni Wajumbe wa Mkutano huo kutoka Tanzania, Kenya na Uganda Baadhi ya kundi la Washiriki wa Mkutano wakiwa katika mkutano huo mapema leo, Mkuano huo uanatarajiwa kumalizika leo Mhe. Robert Makaramba, Jaji...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA SABA WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA (TAWJA), WAFANYIKA JIJINI DAR

 Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo.  Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam jana. Mkutano huo ulihudhuriwa na wanachama kutoka mikoa yote.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani