Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bavicha wapinga kauli za kuvunja Bunge

Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Mbeya limepinga kauli za baadhi ya viongozi na wananchi wanaotaka Bunge la Katiba livunjwe kwa kushindwa kutimiza wajibu wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Bavicha yakemea kauli za CCM

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), limekemea kauli mbalimbali zinazotolewa na viongozi wa CCM kuwa hawawezi kukabidhi nchi kwa wapinzani kwa madai kuwa hawajajipanga kwa uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanasiasa wapinga kauli ya JK

Makundi mbalimbali ya wasomi, wanaharakati na wanasiasa nchini wamepinga kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuzuia kampeni za utoaji wa elimu juu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema yeye mwenyewe na chama chake ndiyo waliohusika kuanza kampeni mapema hivyo hana haki ya kuzuia makundi mengine.

 

9 years ago

StarTV

Marema wapinga kauli ya kamishna wa madini nchini

Siku chache baada ya naibu kamishna wa madini nchini kutoa tamko kuhusu utaratibu wa uchimbaji wa madini ya Tanzanite katika eneo la Mirerani mkoani Manyara, chama cha wachimbaji wadogo wa madini hayo kimepinga vikali tamko hilo kwa madai kwamba litaibua upya mgogoro katika eneo hilo.

Novemba 13 mwaka huu akiwa Jijini Arusha, kituo hiki kilimkariri naibu kamishna wa madini nchini mhandisi Ally Samaje akiwataka wachimbaji wote kuendesha uchimbaji wao kwa kufuata sheria.

Naibu huyo kamishana...

 

11 years ago

Mwananchi

CUF yaonya kauli za kuvunja Serikali ya Umoja Zanzibar

Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limelaani kauli ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyoitoa katika mikutano yake Zanzibar na kusema kuwa ina lengo la kuvunja Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kuvunja Bunge

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umetishia kuvunja Bunge Maalumu la Katiba iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kutumia rasimu yake badala ya kutumia rasimu ya pili iliyowasilishwa na Mwenyekiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi kuvunja Bunge

MWENENDO usioridhisha wa Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma umesababisha wanaharakati, taasisi, vyama vya siasa na watu wa kada mbalimbali kutamani Bunge hilo livunjwe. Moja ya taasisi zilizoamua kuvalia...

 

10 years ago

BBCSwahili

J. Kikwete kuvunja Bunge la 10

Miongoni mwa mengine, bunge hili litakumbukwa kwa mjadala mkali uliohusu maamuzi ya sakata ya uchotwaji mali ya Tegeta Escrow

 

10 years ago

Habarileo

Werema: Rais hana nguvu kuvunja Bunge

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala ya kisheria kwa waandishi wa habari kuhusu mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya wakati wa mkutano uliofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Hassan Silayo, Maelezo).MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Frederick Werema amesisitiza kuwa sheria hairuhusu mtu yeyote, akiwemo Rais Jakaya Kikwete, kuvunja Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani