Wasomi, wanasiasa wapinga kauli ya JK
Makundi mbalimbali ya wasomi, wanaharakati na wanasiasa nchini wamepinga kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuzuia kampeni za utoaji wa elimu juu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema yeye mwenyewe na chama chake ndiyo waliohusika kuanza kampeni mapema hivyo hana haki ya kuzuia makundi mengine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Apr
Wasomi wapinga mfumo Serikali 3
WASOMI wamepinga muundo wa Serikali tatu na kusisitiza zibaki Serikali mbili, huku maandalizi yakifanyika kuelekea Serikali moja.
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Wasomi wawaonya wanasiasa
NA KHADIJA MUSSA
WANASIASA wametakiwa kutotumia changamoto za Muungano kama mtaji katika majukwaa yao.
Hata hivyo, watu wanaopinga Muungano wametakiwa kusoma historia yake na kufahamu sababu za kuanzishwa kwa kuwa wengi wao wanakosa hoja za msingi.
Pia, serikali imepongezwa kwa kupiga hatua katika ujenzi wa maabara za sayansi katika shule za sekondari.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Uhuru baadhi ya wasomi waliipongeza serikali kwa kupiga hatua za kimaendeleo katika kipindi cha miaka 51 ya...
11 years ago
Habarileo23 Mar
JK akonga nyoyo za wasomi, wanasiasa
WASOMI, wanasiasa pamoja na viongozi mbalimbali vya dini wamepongeza hotuba iliyotolewa juzi na Rais Jakaya Kikwete wakati akizindua Bunge Maalum la Katiba huku wajumbe wa bunge hilo wakitakiwa kuzingatia maoni ya Rais wanapojadili Rasimu ya pili ya Katiba hiyo.
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Bavicha wapinga kauli za kuvunja Bunge
10 years ago
Mtanzania27 May
Wasomi wachambua kauli ya Lowassa
GRACE SHITUNDU NA MICHAEL SARUNGI,
DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuweka wazi majaliwa yake ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu yale anayoaamini na kuyasimamia katika taifa, wasomi na wadau wa siasa nchini wamechambua kauli ya kiongozi huyo.
Lowassa juzi alizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Dodoma na kutangaza msimamo wake wa siasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vipaumbele vyake, elimu, kupambana na umaskini.
Wakizungumza...
9 years ago
StarTV23 Nov
Marema wapinga kauli ya kamishna wa madini nchini
Siku chache baada ya naibu kamishna wa madini nchini kutoa tamko kuhusu utaratibu wa uchimbaji wa madini ya Tanzanite katika eneo la Mirerani mkoani Manyara, chama cha wachimbaji wadogo wa madini hayo kimepinga vikali tamko hilo kwa madai kwamba litaibua upya mgogoro katika eneo hilo.
Novemba 13 mwaka huu akiwa Jijini Arusha, kituo hiki kilimkariri naibu kamishna wa madini nchini mhandisi Ally Samaje akiwataka wachimbaji wote kuendesha uchimbaji wao kwa kufuata sheria.
Naibu huyo kamishana...
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Wasomi wataka wanasiasa waondolewe Bunge la Katiba
9 years ago
Mwananchi25 Aug
Wasomi wamshukia Mkapa kwa kauli za kuudhi
11 years ago
Habarileo24 May
Balozi Seif aonya kauli za wanasiasa
MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amesema kauli za chuki, zinazotolewa na wanasiasa majukwaani, zinahatarisha kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa madarakani.