Wasomi wawaonya wanasiasa
NA KHADIJA MUSSA
WANASIASA wametakiwa kutotumia changamoto za Muungano kama mtaji katika majukwaa yao.
Hata hivyo, watu wanaopinga Muungano wametakiwa kusoma historia yake na kufahamu sababu za kuanzishwa kwa kuwa wengi wao wanakosa hoja za msingi.
Pia, serikali imepongezwa kwa kupiga hatua katika ujenzi wa maabara za sayansi katika shule za sekondari.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Uhuru baadhi ya wasomi waliipongeza serikali kwa kupiga hatua za kimaendeleo katika kipindi cha miaka 51 ya...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV04 Sep
Viongozi wa dini Kilimanjaro wawaonya wanasiasa
Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Kilimanjaro wamewaonya wanasiasa kuacha lugha potofu na zenye uchochezi ambazo zinaweza kusababisha uvunjifu wa amani hasa wakati huu ambao watanzania wako katika harakati za kufanya uchaguzi wa viongozi watakaoliongoza taifa kwa miaka mitano ijayo.
Kauli za viongozi hao zinakuja kutokana na baadhi ya wanasiasa kutumia mikutano na majukwaa ya kampeni kutamka maneno ambayo yanahatarisha amani nchini.
Hayo yamejiri katika mkutano ulioandaliwa na viongozi...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Wasomi, wanasiasa wapinga kauli ya JK
11 years ago
Habarileo23 Mar
JK akonga nyoyo za wasomi, wanasiasa
WASOMI, wanasiasa pamoja na viongozi mbalimbali vya dini wamepongeza hotuba iliyotolewa juzi na Rais Jakaya Kikwete wakati akizindua Bunge Maalum la Katiba huku wajumbe wa bunge hilo wakitakiwa kuzingatia maoni ya Rais wanapojadili Rasimu ya pili ya Katiba hiyo.
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Wasomi wataka wanasiasa waondolewe Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Wafanyabiashara wawaonya mgambo
10 years ago
Mtanzania13 May
Upinzani Burundi wawaonya marais EAC
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakitarajiwa kukutana Dar es Salaam leo kujadili mzozo wa Burundi, wapinzani wa Rais Pierre Nkurunziza, wameapa kwa kusema kuwa ni lazima kiongozi huyo ang’atuke madarakani.
Pamoja na hali hiyo pia wameonya kuwa silaha zinazozagaa kwa wanamgambo nchini humo zikusanywe kwa vile ni hatari hata kwa usalama wa nchi jirani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa...
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Wasomi wampinga JK