Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi wampinga JK

Wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameikosoa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa bungeni juzi, huku wengine wakisema inaweza kulivunja Bunge Maalumu la Mabadiliko ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Urambo wampinga Sitta

WAKAZI wa Urambo Mashariki, wanakusudia kuandamana kupinga katiba inayopendekezwa iliyopitishwa jana na Bunge Maalum la Katiba. Wakazi hao wamemlaumu Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta, kwa kuruhusu katiba inayopendekezwa kubeba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaharakati wa Ukimwi wampinga Kenyatta

Wanaharakati wa Ukimwi nchini Kenya wamewasilisha kesi mahakamani kupinga agizo la rais Uhuru Kenyatta la kuundwa orodha ya wagonjwa

 

10 years ago

Mwananchi

AREMA wampinga Profesa Muhongo

Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Arusha (Arema), kimepinga mpango wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wa kukifuta Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (Tawoma) baada ya kupinga ongezeko la tozo kwa wachimbaji wadogo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Israel wampinga Netanyahu

Watu zaidi ya elfu 25 wameshiriki kwenye mhadhara mjini Tel Aviv, kumpinga waziri mkuu, Benjamin Netanyahu

 

11 years ago

Mwananchi

Tabora wampinga Mufti Sheikh Simba

Kutokana na kuondolewa kwa Sheikh wa Mkoa wa Tabora, Shaaban Salum na Mufti wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa bin Simba, baadhi ya Waislamu wamedai kitendo hicho hakivumiliki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wampinga Kabila kuwania urais nchini DRC

Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamewafyatulia risasi waandamanaji kwenye mji mkuu Kinshasa walio na hasira

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi wa Handeni wampinga Omari Kigoda kurithi jimbo la Baba yake

Omari Kigoda

                                                                                 Omari Kigoda

[TANZANIA]  Baadhi ya wanachama  Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Handeni  Mkoani Tanga pamoja na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo wamesikitishwa kwa hatua ya Chama hicho kumpitisha Omari Kigoda (pichani) kuwania Ubunge ndani ya CCM  katika kinyang’anyiro cha kuziba  nafasi iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha Baba yake mzazi marehemu Dkt. Abdallah Kigoda.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani