Urambo wampinga Sitta
WAKAZI wa Urambo Mashariki, wanakusudia kuandamana kupinga katiba inayopendekezwa iliyopitishwa jana na Bunge Maalum la Katiba. Wakazi hao wamemlaumu Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta, kwa kuruhusu katiba inayopendekezwa kubeba...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Urambo kuandamana kumpinga Sitta
Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta.
Na Mwandishi wetu
WAKAZI wa Urambo Mashariki wanatarajia kufanya maandamano yasiyokuwa na kikomo kupinga Rais Jakaya Kikwete asije kuingizwa kwenye mtego wa kupokea Rasimu iliyobeba maoni ya watu wenye uroho wa madaraka kama Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta.
Akisoma Tamko lao kuhusu maandamano yao hayo ya kupinga vitendo vya Mwenyekiti wa Bunge hilo maalumu mbele ya wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Msemaji wa...
11 years ago
Daily News18 May
Sitta promises Urambo water
Daily News
Daily News
URAMBO East Member of Parliament, Mr Samuel Sitta has assured residents that the 3bn/- water project will be embarked on soon. Addressing a public rally at Urambo town, Mr Sitta said: “I want to assure you (Urambo residents) that you will soon have ...
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Meneja wa Sitta avua gamba Urambo
BARAZA la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeibomoa ngome ya Mbunge wa Urambo Mashariki mkoani Tabora, Samuel Sitta, baada ya kuzoa wanachama wapya zaidi ya 200,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pgD2LfDjuQY/VQ8TapymVbI/AAAAAAAHMSU/NRXpdtbr7O8/s72-c/unnamed%2B(95).jpg)
mhe sitta afunga mafunzo ya waendesha bodaboda wilayani urambo, azindua tawi la umoja wa vijana wa CCM
![](http://3.bp.blogspot.com/-pgD2LfDjuQY/VQ8TapymVbI/AAAAAAAHMSU/NRXpdtbr7O8/s1600/unnamed%2B(95).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gUiTxa9zZPY/VQ8TbmpAfBI/AAAAAAAHMSc/PUX5shEcn_0/s1600/unnamed%2B(94).jpg)
10 years ago
MichuziZitto Kabwe aongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Wasomi wampinga JK
10 years ago
Mwananchi18 Oct
AREMA wampinga Profesa Muhongo
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Wanaharakati wa Ukimwi wampinga Kenyatta
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Raia wa Israel wampinga Netanyahu