Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mhe sitta afunga mafunzo ya waendesha bodaboda wilayani urambo, azindua tawi la umoja wa vijana wa CCM

Waziri wa Uchukuzi  Mhe Samuel Sitta akifunga mafunzo ya waendesha  boda boda chuo cha FDC wilaya Urambo leo. Pia amewaasa kuzingatia mafunzo walioyapata kuepuka ajali zinazoweza kuzuilika aidha ametoa wito kwa vijana hao kuwaamasisha wenzao kushiriki mafunzo na kujiendeleza na kozi nyingine za ufundi pale zinapobidi. Pia ameshiriki kutoa vyeti kwa wahitimu wa chuo hicho wapatao 63 Waziri wa Uchukuzi  Mhe Samuel Sitta akitoa cheti mwa mmoja wa wahitimu 63 wa kozi hiyo mafunzo ya waendesha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akutana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa Mhe.Mboni Mohamed Mhita Ubalozini Tanzania House Wsshington DC

Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mboni Mhita (juu) na chini Mhe.Balozi Libearata Mulamula (katikati) katika picha ya kumbukumbu na Mhe.Mboni Mhita Kulia na Bibi Loveness Mamuya kushoto baada ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni.

 

11 years ago

Michuzi

waendesha bodaboda lindi wapatiwa mafunzo, wapima afya kwa hiari

Na Abdulaziz Video, Lindi Mfuko wa Afya Ya Jamii (CHF)Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi wamewezesha kupimwa kwa Afya za Madereva Boda boda wa kata ya Kiwalala wilayani Lindi baada ya kufuzu mafunzo ya Udereva. Mafunzo yaliyotolewa chini ya Mpango shirikishi wa Polisi Jamii Mkoani Humo. Akiongea na madereva Boda boda mara baada ya kuwatunuku vyeti vya kufuzu mafunzo hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Kamishna Msaidizi Renatha Mzinga ametoa wito kwa wahitimu hao kujali...

 

9 years ago

Vijimambo

MHE. ENG.HAMAD MASAUNI AFUNGUA MAFUNZO YA VIJANA WA TUEPO KUWAJENGEA UWEZO VIJANA KUJIAJIRI WENYEWE

Mmoja wa Kijana Wasio na Ajira Tanzania akisoma Quran wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Siku mbili ya kuwajengea Uwezo Vijana wa Jumuiya ya Watanzania Wasuio na Ajira Tanzania (TUEPO) yanayofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.Katibu wa Jumuiya ya TUEPO Muzna Ibarahim akitowa maelezo ya mafunzo hayo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Mhe Hamad Masauni kuyafungua mafunzo hayo ya siku mbili yanayowajumuisha Vijana wasio na Ajira kuwajengea Uwezo wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mhe.Eng.Hamad Masauni afungua mafunzo ya vijana wa TUEPO kuwajengea uwezo vijana kujiajiri wenyewe

Mmoja wa Kijana Wasio na Ajira Tanzania akisoma Quran wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Siku mbili ya kuwajengea Uwezo Vijana wa Jumuiya ya Watanzania Wasuio na Ajira Tanzania (TUEPO) yanayofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar. Katibu wa Jumuiya ya TUEPO Muzna Ibarahim akitowa maelezo ya mafunzo hayo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Mhe Hamad Masauni kuyafungua mafunzo hayo ya siku mbili yanayowajumuisha Vijana wasio na Ajira kuwajengea Uwezo wa...

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI WA CUF WILAYANI URAMBO WASHIRIKI MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE

 Madiwani wa Chama cha CUF,wilayani Urambo wakimpokea kwa bashasha kubwa katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwasili katika wilaya ya Urambo,mapema leo akitokea wilayani Sikonge.Shoto ni Diwani wa CUF,Mh.Kandola Nyanda wa kata ya Nsenda na kati ni Diwani wa CUF,Kata ya Usoke,Mh.Kadada Mohamed,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya elimu,afya na maji katika halmashauri ya Urambo mkoani Tabora.Pichani nyuma ya Kinana ni Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akitoa hotuba yake wakati akifunga mafunzo kwa madereva bodaboda wilayani Makete. Mafunzo hayo yametolewa na shirika la APEC  Madereva bodaboda wakifurahia kupatiwa vyeti vya mafunzo hayo.  Bi Rehebian Mahenge ambaye alikuwa katibu katika mafunzo hayo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi  Bi Mahenge akimkabidhi risala mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika mafunzo hayo. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao

KATIBU

Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.

Na Hillary Shoo, MKALAMA.

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.

Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani