Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marema wapinga kauli ya kamishna wa madini nchini

Siku chache baada ya naibu kamishna wa madini nchini kutoa tamko kuhusu utaratibu wa uchimbaji wa madini ya Tanzanite katika eneo la Mirerani mkoani Manyara, chama cha wachimbaji wadogo wa madini hayo kimepinga vikali tamko hilo kwa madai kwamba litaibua upya mgogoro katika eneo hilo.

Novemba 13 mwaka huu akiwa Jijini Arusha, kituo hiki kilimkariri naibu kamishna wa madini nchini mhandisi Ally Samaje akiwataka wachimbaji wote kuendesha uchimbaji wao kwa kufuata sheria.

Naibu huyo kamishana...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA MADINI AZITAKA TAASISI ZA MAZINGIRA NCHINI KUONGEZA USHIRIKIANO KWENYE MIGODI

Na Greyson Mwase, BagamoyoTaasisi zinazohusika na usimamizi wa sheria na kanuni za mazingira zimetakiwa kushirikiana kwa karibu zaidi ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa mazingira migodini na kuepuka mwingiliano wa majukumu.
Wito huo umetolewa na Kamishna Msaidizi wa Madini – Ukaguzi wa Migodi Mhandisi Ally Samaje katika mahojiano maalum kwenye mafunzo yanayohusisha Makamishna Wasaidizi wa Madini, Wakaazi kutoka Wizara ya Nishati na Madini Tanzania na wataalam kutoka India yanayoendelea...

 

10 years ago

Michuzi

Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.

Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia anayemaliza muda wake, Evaristus Shikongo(katikati) akipokea Salaamu ya heshima toka kwa Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Magereza wa Namibia(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Uongozi(kulia) ni Waziri wa Ulinzi na Usalama Nchini Namibia, Mhe. Immanuel Ngatjizeko na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali Mpya wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Sherehe hizo zimefanyika Februari 01, 2014 katika Chuo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanasiasa wapinga kauli ya JK

Makundi mbalimbali ya wasomi, wanaharakati na wanasiasa nchini wamepinga kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuzuia kampeni za utoaji wa elimu juu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema yeye mwenyewe na chama chake ndiyo waliohusika kuanza kampeni mapema hivyo hana haki ya kuzuia makundi mengine.

 

11 years ago

Mwananchi

Bavicha wapinga kauli za kuvunja Bunge

Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Mbeya limepinga kauli za baadhi ya viongozi na wananchi wanaotaka Bunge la Katiba livunjwe kwa kushindwa kutimiza wajibu wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK ateua Kamishna wa Madini

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Mhandisi Paul Mhangilwa Masanja kuwa Kamishna wa Madini nchini. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue jijini Dar es Salaam jana, ilieleza uteuzi huo...

 

10 years ago

Michuzi

MH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI

Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na watendaji wanaosimamia sekta ya madini nchini. Kushoto kwake ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mjiolojia Mwandamizi Subian Chiragwile, Kaimu Mkurugenzi wa Migodi na Huduma za Kihandisi kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Bi.Zena Kongoi, na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa STAMICO,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani