Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Seif aonya kauli za wanasiasa

Balozi Seif Ali IddMAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amesema kauli za chuki, zinazotolewa na wanasiasa majukwaani, zinahatarisha kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa madarakani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDD AONYA WATOA RUSHWA

Na Mwandishi wetu Shinyanga
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Barozi Seif Ali Idd amewaonya baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi wanaotaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia chama hicho kujiepusha na matumizi ya fedha katika kutafuta nafasi za uongozi kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Chama hicho.
Aidha Barozi Seif Ali Idd ameonya kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia ya kugombea uongozi lakini badala ya kwenda wenyewe wanatuma watu wengine kutoa rushwa kwa niaba...

 

10 years ago

Michuzi

hafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa Wabunifu na wasanii Zanzibar - Balozi Seif aonya walaghai wa kazi za wasanii

Othman Khamis Ame, OMPR -  ZNZ
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alionya kwamba wananchi wanalazimika kujenga utamaduni wa kuthamini kazi za wabunifu na wasanii kwa kuona fahari kuzilipia bila ya shuruti pale wanapozitumia jambo ambalo ni uungwana na kinyume chake inahesabika kuwa ni wizi. Alisema Serikali kupitia Ofisi ya Hakimiliki, Bodi ya Hakimiliki na Jumuiya ya Hakimiliki Zanzibar { COSOZA } itaendelea kusimamia kazi za wabunifu na wasanii ili kuona kuwa maslahi,...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu aonya wanasiasa

KIONGOZI wa kanisa la Cathedral of Joy, Askofu John Komanya amehadharisha wabunge na watu wanaowania nafasi za uongozi katika chaguzi zijazo, kutojihusisha na ushirikina kwa kile alichodai wakifanya hivyo, hawatashinda.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanasiasa wapinga kauli ya JK

Makundi mbalimbali ya wasomi, wanaharakati na wanasiasa nchini wamepinga kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuzuia kampeni za utoaji wa elimu juu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema yeye mwenyewe na chama chake ndiyo waliohusika kuanza kampeni mapema hivyo hana haki ya kuzuia makundi mengine.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Wananchi kuweni makini na kauli za wanasiasa’

WANANCHI wametakiwa kuwa makini na kauli za wanasiasa, kwani si kila kitu wanachosema ni cha kweli kwa kuwa baadhi yao hupotosha jamii kwa maslahi yao binafsi. Akizungumza wakati wa harambee...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi kuweni makini na kauli za wanasiasa-IPTL

SONY DSC

Katibu na Mshauri Mkuu wa Makapuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), Bw. Joseph Makandege, (mwenye suti nyeusi kushoto) akimkabidhi Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT Usharika wa Likamba Wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Bi Martha Musa Kivuyo (mwenye nguo nyeupe), mfano wa hundi ya Shilingi milioni 10 kati ya Silingi milioni 20 (Tsh 20m/-) iliyotolewa na kampuni ya IPTL/PAP, kusaidia kwaya ya Patano la Usharika wa Likamba...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi waaswa kuwa makini na kauli za wanasiasa-IPTL

Katibu na Mshauri Mkuu wa Makapuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), Bw. Joseph Makandege, (mwenye suti nyeusi kushoto) akimkabidhi Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT Usharika wa Likamba Wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Bi Martha Musa Kivuyo (mwenye nguo nyeupe), mfano wa hundi ya Shilingi milioni 10 kati ya Silingi milioni 20 (Tsh 20m/-) iliyotolewa na kampuni ya IPTL/PAP, kusaidia kwaya ya Patano la Usharika wa Likamba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Sefue aonya

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amewataka watumishi wa umma nchini kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuleta tija kwenye maeneo yao ya kazi. Sefue aliyasema hayo jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani