Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Werema: Rais hana nguvu kuvunja Bunge

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala ya kisheria kwa waandishi wa habari kuhusu mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya wakati wa mkutano uliofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Hassan Silayo, Maelezo).MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Frederick Werema amesisitiza kuwa sheria hairuhusu mtu yeyote, akiwemo Rais Jakaya Kikwete, kuvunja Bunge Maalumu la Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA NA KUVUNJA BUNGE LA 11 JIJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge kabla ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hotuba ya kuvunjwa kwa Bunge la 11 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) Jijini Dodoma. Kuanzia Kulia ni Rais wa awamu wa pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais...

 

10 years ago

GPL

SOMA HOTUBA YA RAIS KIKWETE WAKATI WA KUVUNJA BUNGE LA 10 MKOANI DODOMA LEO

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUVUNJA BUNGE LA KUMI NA KUAGANA NA WABUNGE, UKUMBI WA BUNGE, DODOMA 9 JULAI, 2015 Mheshimiwa Spika; Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kuishuhudia siku hii adhimu katika historia ya Bunge letu na nchi yetu. Hatimaye siku ya kulivunja Bunge la Kumi imewadia ili...

 

11 years ago

Habarileo

Werema aliomba radhi Bunge

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema, jana aliomba radhi Bunge baada ya kutoa kauli, iliyoonesha ubaguzi kwa wabunge kutoka Zanzibar. Kabla ya kuomba radhi, kauli hiyo ilisababisha wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF), kutoka nje ya Bunge kuonesha kukerwa na kauli hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

J. Kikwete kuvunja Bunge la 10

Miongoni mwa mengine, bunge hili litakumbukwa kwa mjadala mkali uliohusu maamuzi ya sakata ya uchotwaji mali ya Tegeta Escrow

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kuvunja Bunge

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umetishia kuvunja Bunge Maalumu la Katiba iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kutumia rasimu yake badala ya kutumia rasimu ya pili iliyowasilishwa na Mwenyekiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi kuvunja Bunge

MWENENDO usioridhisha wa Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma umesababisha wanaharakati, taasisi, vyama vya siasa na watu wa kada mbalimbali kutamani Bunge hilo livunjwe. Moja ya taasisi zilizoamua kuvalia...

 

11 years ago

Habarileo

Werema: Bunge la Katiba lina mamlaka kurekebisha Rasimu

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wana mamlaka ya kurekebisha Rasimu ya Katiba lakini hawawezi kuondoa misingi mikuu ya kitaifa na maadili ya kijamii. Aidha, amesema madai ya kuwapo kwa rasimu vya vyama na makundi mbalimbali ni upotoshaji, ila si vyema kuzipiga mateke, bali wajumbe wazisome.

 

11 years ago

Mwananchi

Bavicha wapinga kauli za kuvunja Bunge

Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Mbeya limepinga kauli za baadhi ya viongozi na wananchi wanaotaka Bunge la Katiba livunjwe kwa kushindwa kutimiza wajibu wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani