Madawati ya ‘Chenji ya Rada’ yameota mbawa?
Ni fedheha kubwa kwa Serikali kuwa na kigugumizi kila inapotakiwa kutoa maelezo au ufafanuzi kuhusu matumizi ya Sh73.6 bilioni zilizotengwa kununua vitabu na madawati kwa shule za msingi nchini. Suala hilo limekuwa kitendawili kutokana na ukweli kuwa, zaidi ya asilimia 60 ya madawati yaliyopangwa kununuliwa kwa ‘Chenji ya Rada’ hayakununuliwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Feb
Masasi wapokea madawati 600 ya chenji ya rada
HALMASHAURI ya mji wa Masasi mkoani Mtwara imepokea madawati ya kisasa ya plastiki ngumu 617 kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
11 years ago
Habarileo07 May
Serikali yatoa kauli chenji ya rada
SERIKALI imesema chenji ya rada itahusika na ununuzi wa madawati na vitabu katika shule za Tanzania Bara pekee.
11 years ago
Habarileo23 Mar
Mushkeli vitabu vya chenji ya rada
SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Madudu vitabu vilivyonunuliwa kwa chenji ya rada
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada
11 years ago
Dewji Blog10 May
Chenji ya Rada yatumika kununua Vitabu visivyo na ubora
Na Mwandishi maalumu – HakiElimu
Uchunguzi kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina kasoro za ubora licha ya kupata Hati ya Ithibati (Certificate of Approval) kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Uchunguzi huo uliofanyika katika shule za msingi katika Wilaya ya Kilwa Masoko iliyoko mkoani Lindi umebaini pamoja na kasoro za ubora pia mgawanyo wa vitabu hivyo haukuzingatia mahitaji halisi...
11 years ago
Mwananchi07 Oct
Nini kimekwamisha madawati ya rada kutofika shuleni?
10 years ago
Michuzi
BIASHARA YA CHENJI YAZIDI KUNOGA


11 years ago
BBCSwahili22 Oct
Mashabiki Afrika mtarudishiwa chenji?