Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIASHARA YA CHENJI YAZIDI KUNOGA

 Biashara ya kuuza chenji za sarafu imezidi kutoga katika maeneo mengi hapa jijini Dar, kama inavyoonekana pichani. Hapo ukitoa Buku unapata sh. 700 inayobaki inakuwa imekatwa.Upo hapoo???

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mambo yazidi kunoga

Hadi kufikia wakati huu tayari nilikuwa nimejijenga sana kama ripota maalumu wa Sauti ya Amerika, VOA, katika kanda ya Afrika ya Mashariki na Kati.

 

10 years ago

GPL

TMT 2015 YAZIDI KUNOGA

Majaji wa TMT, Rich, Monalisa na Roy Sarungi. Kutoka kushoto ni Tomluck Stephan (Arusha) Vandeline  August (Mbeya) Catherine Nicholaus (Dodoma) na Dennis Laswai…

 

11 years ago

GPL

MAMBO YAZIDI KUNOGA JANGWANI

Beki wa Yanga, Juma Abdul, akichuana na Mwinyi Ndimbo aliyenyuma yake. Jaja (kushoto) na Coutinho. Daktari Juma Sufian akimtibu Hamis Thabit baada ya kuumia kwenye mazoezi hayo.…

 

11 years ago

Michuzi

Michauno ya Heineken foosball yazidi kunoga

Mwakilishi wa kampuni ya Heineken Tanzania, Amon Theonest (kulia) akiteta na kapteni wa timu Boko stars Elifuraha Salimu pamoja na Rafael Masanga kuhusu ushindi wao mkubwa baada yakushinda michuano ya foosball pale Hisaje boko Dar es salaam. Washindi hao pia wameingia robo finali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain kuburudika na kutazama fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league. Timu ya Boko Stars kushoto ikiongozwa na capteni Elifuraha Salimu pamoja na...

 

9 years ago

Habarileo

Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga

LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.

 

10 years ago

GPL

TMT YAZIDI KUNOGA, WAWILI TENA WATOLEWA!

Baadhi ya washiriki wa shindano la kuibua vipaji vya kuigiza la TMT wakiwa kwenye jua la utosi. Majaji wa TMT kutoka kushoto ni Richie, Monalisa pamoja na Roy. Washiriki waliotoka…

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA WA NBC YAZIDI KUNOGA

 Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa (kulia) akizungumza na mteja wa benki hiyo, Job Mwakibinga katika tawi la Mlimani City ikiwa ni sehemu ya maadhimisho yanayoendelea ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja ambapo maofisa wa benki hiyo hutembelea matawi mbalimbali na kuhudumia wateja. Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa (katikati) akizungumza na mteja wa benki hiyo, Job Mwakibinga katika tawi la Mlimani City ikiwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

mambo yazidi kunoga stendi ndogo ya mabasi Ubungo jijini Dar

Wafanyabiashara ndogondogo (MACHINGA), wakiendelea kufanya biashara zao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu kwenye kituo cha daladala ubungo na pembezoni mwa barabara jijini ya Morogoro jijini Dar es Salaam, hivyo kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara hiyo,eneo hilo lilipigwa marufuku kwa shughuli za aina yoyote na Mansipaa ya Kinondoni lakini jamaa kama wamekaidi amri ile halali kabisa.Picha na Philemon Solomon,Globu ya Jamii.

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazidi kufungua milango ya biashara mikoani

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Mkoani Kagera Bi. Zipora Pangani ameipongeza Kampuni ya Simu za Mkononi Airtel kwa kufungua duka kubwa, ambalo litatoa huduma mbalimbali kwa wateja ikiwemo kutuma na kutoa fedha ya (AIRTEL MONEY).
Akifungua duka hilo lililopo eneo la Mtaa wa Kawawa Mjini Bukoba, alisema litakuwani chachu ya maendeleo, kwa wakazi wa mkoani Kagera ambapo litarahisisha huduma kwa wananachi.
“Ufunguzi wa hili duka hapa kwetu litakuwa ni chachu ya maendeleo kwa wateja wa Air tel na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani