Airtel yazidi kufungua milango ya biashara mikoani
MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Mkoani Kagera Bi. Zipora Pangani ameipongeza Kampuni ya Simu za Mkononi Airtel kwa kufungua duka kubwa, ambalo litatoa huduma mbalimbali kwa wateja ikiwemo kutuma na kutoa fedha ya (AIRTEL MONEY).
Akifungua duka hilo lililopo eneo la Mtaa wa Kawawa Mjini Bukoba, alisema litakuwani chachu ya maendeleo, kwa wakazi wa mkoani Kagera ambapo litarahisisha huduma kwa wananachi.
“Ufunguzi wa hili duka hapa kwetu litakuwa ni chachu ya maendeleo kwa wateja wa Air tel na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAIRTEL YAZIDI KUFUNGUA MILANGO YA BIASHARA MIKOANI
10 years ago
GPLAIRTEL YAIPELEKA AIRTEL TRACE MUSIC STARS MIKOANI
10 years ago
MichuziAirtel yaipeleka Airtel Trace Music Stars Mikoani
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Baraza Ewura kufungua ofisi mikoani
BARAZA la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura CCC) limesema mwaka huu wa fedha linatarajia kufungua ofisi katika ngazi ya mikoa ili huduma zake ziwafikie watumiaji wa huduma...
5 years ago
MichuziVETA, Plan International kufungua milango ya ajira kwa vijana 400 mkoani Mwanza
Akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini makubaliano hayo leo tarehe 21 Februari, 2020 katika ofisi za VETA Makao Makuu Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkazi wa Plan International Tanzania Dkt. Mona Girgis amesema kuwa makubaliano hayo yanalenga hasa...
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Virusi vya corona: Hali ikoje baada ya Tanzania kufungua milango kwa watalii
10 years ago
Bongo Movies25 May
Leo Kajala Atoa Kinyongo, Kwa Mara Nyingine Awashukuru Wema na Petitman na Kufungua Milango ya Urafiki Tena
Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu...
Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu...
11 years ago
GPLAIRTEL NA MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA MIKOANI... WAANZIA ARUSHA
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Li Yuanchao kufungua kongamano la biashara
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Li Yuanchao, anatarajiwa kufungua kongamano kubwa la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China kesho jijini Dar es Salaam. Kiongozi...