Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Li Yuanchao kufungua kongamano la biashara

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Li Yuanchao, anatarajiwa kufungua kongamano kubwa la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China kesho jijini Dar es Salaam. Kiongozi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK kufungua kongamano la utafiti

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kufungua kongamano la 19 la utafiti wa kimataifa Aprili 9. Kongamano hilo litakalowashirikisha watafiti, watunga sera na wadau wa maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK kufungua kongamano la kisayansi

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kisayansi la 31 na mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), utakaofanyika Novemba 24 hadi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Bilal kufungua kongamano NIMR

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajia kufungua kongamano la 28 la Sayansi la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) sambamba na kukabidhi tuzo kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Makamu wa Rais wa China kufungua kongamano

MAKAMU wa Rais wa China, Li Yuanchao, anatarajiwa kufungua kongamano kubwa la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China Jumatatu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AWASILI MJINI UNGUJA KUFUNGUA KONGAMANO LA MUUNGANO KESHO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya maafisa na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mjini Zanzibar leo jioni kwa ajili ya kufungua rasmi Kongamano la Muungano, linaloanza kesho katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort. Wa pili (kulia) ni mkewe Mama Zakia Bilal. Picha na OMR

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama kufungua mkutano wa biashara Kenya

Rais wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa kufungua mkutano mkubwa wa kibiashara katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kipekee nchini Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani