Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mambo yazidi kunoga stendi ndogo ya mabasi Ubungo jijini Dar

Wafanyabiashara ndogondogo (MACHINGA), wakiendelea kufanya biashara zao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu kwenye kituo cha daladala ubungo na pembezoni mwa barabara jijini ya Morogoro jijini Dar es Salaam, hivyo kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara hiyo,eneo hilo lilipigwa marufuku kwa shughuli za aina yoyote na Mansipaa ya Kinondoni lakini jamaa kama wamekaidi amri ile halali kabisa.Picha na Philemon Solomon,Globu ya Jamii.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mambo yazidi kunoga

Hadi kufikia wakati huu tayari nilikuwa nimejijenga sana kama ripota maalumu wa Sauti ya Amerika, VOA, katika kanda ya Afrika ya Mashariki na Kati.

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI STENDI YA UBUNGO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam kuna mgomo wa madereva waendeshayo mabasi yaendayo mikoani. Mgomo huo umeanza leo kama ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai kutotatuliwa kero zao na serikali. Taarifa zaidi pamoja na picha vitawajia hivi punde.

 

11 years ago

GPL

MAMBO YAZIDI KUNOGA JANGWANI

Beki wa Yanga, Juma Abdul, akichuana na Mwinyi Ndimbo aliyenyuma yake. Jaja (kushoto) na Coutinho. Daktari Juma Sufian akimtibu Hamis Thabit baada ya kuumia kwenye mazoezi hayo.…

 

9 years ago

Michuzi

ABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)

Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubilia usafili wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimalisha usalama wa malizao, leo.Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.

 

5 years ago

CCM Blog

MAGARI YA WASHAWASHA, FIRE YATUMIKA KUNYUNYUZIA DAWA STENDI YA MABASI UBUNGO

   Zoezi la kunyunyizia dawa ya kuua vijidudu katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi Jiji la Dar es salaam limeendelea usiku wakuamkia leo katika standi kuu ya mabasi ya Ubungo na mitaa yake ikiwa ni moja ya jitihada za Serikali kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo ni tishio kwa dunia kwa sasa.

 

11 years ago

GPL

AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam. Ajari mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajari imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

 

11 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma. Kutokana na mgomo huo ndipo madereva wa magari hayo na makondakta wakaamua kugeuza stendi hiyo uwanja wa mpira wa miguu likapigwa mbungi kati ya madereva na makondakta. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA STAND YA MABASI UBUNGO, DAR

Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar. Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo jijini Dar. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP + 255 753 715…

 

10 years ago

GPL

TMT 2015 YAZIDI KUNOGA

Majaji wa TMT, Rich, Monalisa na Roy Sarungi. Kutoka kushoto ni Tomluck Stephan (Arusha) Vandeline  August (Mbeya) Catherine Nicholaus (Dodoma) na Dennis Laswai…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani