Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitabu vya Shaaban Robert


Na Profesa Mbele
Jina la Shaaban Robert ni maarufu miongoni mwa wa-Tanzania na wengine wa nchi zingine wanaokijua ki-Swahili. Lakini, tujiulize ni wa-Tanzania wepi ambao wamesoma angalau vitabu vichache vya Shaaban Robert. 

Ni wangapi wamesoma au wanasoma mashairi yake, tenzi zake, insha zake, barua zake, na riwaya zake?
Ni wangapi wamesoma vitabu vyake vingine, kama vile Wasifu wa Siti Binti Saad, Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini, na tafsiri yake ya mashairi ya Omar Khayyam? Kama hatuna...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sheikh Shaaban Robert

Bila shaka Mtanzania yeyote ambaye amesoma shule ameshawahi kusikia jina la Sheikh Shaaban Robert. Hii ni kwa sababu amefahamika sana kutokana  na vitabu alivyoandika ambavyo vimekubaliwa na Wizara ya Elimu katika wakati tofauti kuwa ni vitabu vya kiada kwa somo la Kiswahili katika shule.

 

9 years ago

Mwananchi

Mjue Shaaban Robert

Shaaban ni maarufu, kwa wanalugha nchini, Alikuwa ni mrefu, mwembamba wa wastani, Na leo tunamsifu  mchango wake Shaabani Mungu amlaze pema, mahali pema peponi.  

 

10 years ago

Mwananchi

Shaaban Robert ni dira na kurunzi katika Kiswahili

Shaaban Robert kamwe hatasahaulika katika kumbukumbu za wapenzi wa Kiswahili. Jina la gwiji huyu linapotajwa na kugonga masikioni mwa wakereketwa wa Kiswahili, hisia za aina yake huibuka.

 

10 years ago

TheCitizen

COVER: Shaaban Robert: Father of Kiswahili literature

>Generations of students studied his epic novel Kusadikika, an allegorical work of an imaginary state in which injustices are perpetrated against all notions of justice, law and humanity.

 

11 years ago

Mwananchi

SHAABAN ROBERT; Bingwa wa lugha na elimu- atuzwa London

Tanzania na Afrika zina mashujaa wengi. Baadhi yao hawatajulikana kwa sababu habari zao hazikutangazwa. Walitenda mema wakaondoka zao. Wengine tunao humu mitaani na vijijini, wanafanya mazuri kimya kimya.

 

11 years ago

TheCitizen

‘Killing’ Shaaban Robert books: Big social crime

If Egypt’s great pyramid of Giza is one of the wonders of the world, the withdrawal of classics by Shabaan Robert like ‘Kusadikika’ and ‘Adili na Nduguze’ from the Kiswahili syllabi, is one of Tanzania’s most scandalous decisions.

 

10 years ago

Michuzi

MTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE

Mtunzi mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) akionyesha vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Redio Annur Fm Kasim Khamis akimuuliza suali Bi. Fatma Jinja kuhusiana na utunzi wa vitabu vyake alivyo vizindua. Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo wakimskiliza Bi. Fatma Jinja (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelezo juu ya...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, DKT. SHAABAN MWINJAKA AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka, akiongea na watumishi kutoka Ofisi mbalimbali za Serikali wanaofanya kazi Kwenye Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA),, mwishoni mwa wiki.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (wa nne kutoka kulia mstari wa kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA) na watuumishi wa Serikali wanaotoka kwenye ofisi mbalimbali za Serikali wanaofanya kazi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Benki yatoa vitabu vya mil.1.4/-

BENKI ya Afrika, Tawi la Mtwara imetoa msaada wa vitabu 118 vyenye thamani ya sh. milioni 1.4 kwa Shule ya Sekondari ya Bandari ya mkoani hapa. Akizungumza mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani