TANESCO YAKUBALI KUWEPO MADUDU KWENYE LUKU NI BAADA YA WATEJA KUWA KIZANI KWA SIKU 3
Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme nchini (TANESCO), limekiri kuwepo na matatizo ya mfumo wa kununua Lipa Umeme Kadiri Utumiavyo (LUKU), ulioanza Ijumaa jioni wiki iliyopita hadi jana na kuwa matatizo hayo yanatokana na mfumo wa kuuza umeme wa LUKU.Akizungumza na mwandishi jijini Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Adrian Shogholo alisema ni kweli kuwa tatizo hilo lipo na limetokana na mfumo wa manunuzi wa umeme wa LUKU.
“Ni kweli tunaomba radhi wateja wetu kwamba kuanzia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Jan
Tanesco yakiri madudu kwenye ununuzi wa Luku
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limekiri kuwa na tatizo la huduma ya ununuzi ya Luku na kuomba radhi kwa wateja wake.
10 years ago
Mwananchi31 Jul
Tanesco kusitisha huduma za kununua Luku kwa saa 24
10 years ago
Habarileo08 Apr
Tanesco yaja na Luku mpya
Shirika la Umeme nchini (TANESCO) linatarajia kubadilisha mfumo wa huduma ya Lipia Umeme Kadri Utumiavyo (Luku) na kuuweka wa kisasa ili kuwaondolea usumbufu wateja wake.
11 years ago
CloudsFM29 May
BAADA YA KUWA KWENYE ‘GAME’ KWA MIAKA 15,DULLY SYKES AKUMBUKA ALIVYOMFUNIKA TID MWAKA 2002
Jana kupitia xxl clouds fm msanii wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes alisema kuwa ameitumikia tasnia hiyo kwa miaka 15 mpaka sasa, alifunguka kuwa moja kati ya vitu anavyovikumbuka ndani ya miaka 15 ni siku aliyomfunika msanii mwenzake katika tasnia hiyo TID kwenye shoo waliyoshindanishwa mwaka 2002 ilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam.Jana hiyo hiyo Mzee Mnyama akajibu mapigo, sasa baada ya hapo Dully naye akataka kuweka mambo sawa.
10 years ago
Uhuru NewspaperTANESCO sasa mambo shwari Luku
NA EMMANUEL MOHAMEDSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema tatizo la mfumo wa kununua umeme kwa njia ya mtandao limeshatafutiwa ufumbuzi na kwamba wateja wataendelea kupata huduma hiyo. Imeelezwa kuwa licha ya kupatikana kwa ufumbuzi huo, bado mfumo huo utakuwa na kasi ndogo ya kuwahudumia wateja, ukilinganisha na awali. Ofisa Uhusiano wa TANESCO, Adrian Mvungi, alisema tatizo hilo linatokana na kutokea kwa hitilafu ya mfumo huo na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wateja o...
10 years ago
TheCitizen14 Jan
We’ll fix Luku by day’s end: Tanesco
10 years ago
Habarileo12 Apr
Tanesco kufunga Luku taasisi za serikali
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema kuwa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) lina mpango wa kufunga mita za LUKU katika ofisi za taasisi zote za serikali kama moja ya mikakati yake katika ukusanyaji wa mapato.
10 years ago
Mwananchi02 May
Wateja wa Luku wazidi kutaabika
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Tanesco: Kuna tatizo la upatikanaji umeme wa Luku