Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wateja wa Luku wazidi kutaabika

Dar es Salaaam. Wakati wateja wa umeme wamendelea kutaabika, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limetoa malekezo zaidi ya namna ya upatikanaji wa huduma hiyo kwa urahisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TANESCO YAKUBALI KUWEPO MADUDU KWENYE LUKU NI BAADA YA WATEJA KUWA KIZANI KWA SIKU 3

Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme nchini (TANESCO), limekiri kuwepo na matatizo ya mfumo wa kununua Lipa Umeme Kadiri Utumiavyo (LUKU), ulioanza Ijumaa jioni wiki iliyopita hadi jana na kuwa matatizo hayo yanatokana na mfumo wa kuuza umeme wa LUKU.Akizungumza na mwandishi jijini Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Adrian Shogholo alisema ni kweli kuwa tatizo hilo lipo na limetokana na mfumo wa manunuzi wa umeme wa LUKU.
“Ni kweli tunaomba radhi wateja wetu kwamba kuanzia...

 

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL WAZIDI KUSHIDA MAMILIONI YA PESA

Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kushoto) akimkabidhi mshindi wa droo ya sita ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”, Rajabu Mwalapinga (kulia), mkazi wa Dar es Salaam, shillingi millioni tatu.  Ofisa uhusiano na matukio, Bi Dangio Kaniki akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya saba ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya simu ya TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia Oktoba 12 hadi 16, 2015. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

LUKU YAZUA GUMZO NCHINI

Pichani ni baadhi ya wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar, wakiwa kwenye foleni ya kununua umeme wa luku kwenye kituo cha Sayansi, Kijitonyama baada ya kupatwa na kwikwi kwa siku kadhaa zilizopita kwenye vituo vingine pamoja na kwenye mitandao ya simu.ila sasa Tanesco wametoa taarifa na kusema mambo yako mswano kwa sasa.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)  TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA LUKU KWA BAADHI YA MAWAKALA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linatoa ufafanuzi juu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Luku yazua tafrani Mbeya

>Wakazi wa jijini hapa jana walizua tafrani baada ya kufunga ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa muda wakidai kupewa majibu kuhusu tatizo la upatikanaji wa umeme lililodumu kwa zaidi ya siku tano

 

10 years ago

TheCitizen

Relief as luku services resume

>Tanesco yesterday announced that prepaid power service, Luku,  has resumed albeit at a rather tortuous pace.

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la Luku latesa wananchi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema linaendelea na kazi ya kurekebisha hitilafu kwenye mfumo wa Luku kwa njia ya mitandao ya simu ili kuwalipa ‘units’ wateja wake waliokatwa pesa zao kabla ya kupata huduma hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua ofa ya LUKU

Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na shirika la umeme la (TANESCO) imezindua ofa kabambe itakayowazawadia wateja wake nchi nzima Unit za bure za Luku pindi watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel Money
Ofa hii mpya ina lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma ya umeme na pia kuwazawadia wateja wa Airtel wanaonunua unit za LUKU kupitia huduma ya Airtel Money
Akiongea kuhusu ofa hiyo, Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackosn Mmbandoalisema” Wateja wetu watazawadia unit LUKU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani