Azam yamng’oa Domayo Yanga
Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC wamepeleka pigo lingine kwa Yanga baada ya jana jioni kukamilisha rasmi usajili wa kiungo mkabaji Frank Domayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Domayo, Niyonzima, Migi kuikosa Yanga, Azam
Timu za Yanga na Azam zitakosa huduma ya viungo wao mahiri katika mchezo baina yao, kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Domayo amshtua Omog Azam
Azam FC imepiga bao faida ya kuwajali wachezaji wao baada ya kupona kiungo wao mkabaji, Frank Domayo ambaye sasa amerudi kwa kasi ya ajabu.
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Azam FC bado yamng’ang’ania Nyosso
Muda mfupi baada ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) kumfungia nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kwa kumdhalilisha mshambuliaji wa Azam FC, John Boko, timu hiyo yenye maskani yake Chamazi, Dar es Salaam imesema suala hilo wanalifuatilia kisheria zaidi.
11 years ago
GPL
KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC
Frank Domayo akisaini mkataba na timu ya Azam FC. (Picha na Bin Zubeiry) Kiungo Frank Domayo aliyekuwa akikipiga Yanga SC leo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara ikiwa ni siku moja tangu mshambuliaji wa Yanga na nahodha wa timu ya Taifa ya Burundi, Didier Kavumbagu kujiunga na klabu hiyo. ...
11 years ago
GPL
TFF YATEUA WAKILI KUCHUNGUZA USAJILI WA DOMAYO AZAM FC
Frank Domayo. KUTOKANA na tukio lililotokea jana Aprili 30 mwaka huu kwenye kambi ya timu ya Taifa (Taifa Stars) iliyopo Tukuyu mkoani Mbeya likihusisha usajili wa baadhi ya timu, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemteua Wakili Wilson Ogunde kuchunguza mlolongo mzima wa tukio hilo. Taarifa ya TFF imesema kwamba, baada ya kukamilisha uchunguzi wake, Wakili Ogunde ataishauri TFF kuhusu hatua za kisheria na...
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Yanga yamng’ang’ania Bob Williamson
>Wakati mabingwa wa soka nchini, Yanga wakimng’ang’ania kocha mkuu wa Gor Mahia ya Kenya, Bob Williamson kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wao mkuu, Ernie Brandts, timu hiyo mpaka sasa haijalipwa fedha zake zilizotokana na ushindi wa mashabiki wake katika mechi ya Nani Mtani Jembe Sh98, 938,400.
10 years ago
GPLDomayo naye anukia Yanga
Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BAADA ya kuelezwa kuwa straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu yupo mbioni kurejea kwenye kikosi cha Yanga, habari nyingine ni kuwa kiungo wa Azam FC, Frank Domayo, naye anadaiwa kuwa kwenye njia ya kurejea kurudi katika klabu yake hiyo ya zamani. Domayo ambaye alijiunga na Azam mwanzoni wa msimu huu akitokea Yanga, inadaiwa kuwa amekuwa katika hali tata ya kutokuwa...
11 years ago
Mwananchi23 Sep
Domayo, Mosoti pengo Yanga, Simba
Mapengo ya Frank Domayo kwa Yanga na Donald Mosoti kwa Simba yameonekana dhahiri mwishoni mwa wiki baada ya timu hizo kuanza vibaya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania