Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF YATEUA WAKILI KUCHUNGUZA USAJILI WA DOMAYO AZAM FC

Frank Domayo. KUTOKANA na tukio lililotokea jana Aprili 30 mwaka huu kwenye kambi ya timu ya Taifa (Taifa Stars) iliyopo Tukuyu mkoani Mbeya likihusisha usajili wa baadhi ya timu, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemteua Wakili Wilson Ogunde kuchunguza mlolongo mzima wa tukio hilo. Taarifa ya TFF imesema kwamba, baada ya kukamilisha uchunguzi wake, Wakili Ogunde ataishauri TFF kuhusu hatua za kisheria na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Usajili wa Domayo waivuruga TFF

SIKU moja baada ya uongozi wa Azam FC kunyaka saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Frank Domayo ‘Chumvi’ akiwa kambini Tukuyu, Mbeya, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal...

 

11 years ago

GPL

TFF yafuta usajili wa Domayo

Kiungo mkabaji, Frank Domayo alipokuwa akisaini mkataba na timu ya Azam FC. Mohammed Mdose na Said Ally
MAMBO yanazidi kuwa mambo kwenye usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara! Wakati Azam FC ikiwa imejihakikishia kumtumia kiungo mkabaji, Frank Domayo kuanzia msimu wa 2014-2015, tamko zito limetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya usajili huo. TFF imetoa tamko kuwa mpaka sasa bado haiutambua usajili wa kiungo huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yachunguza usajili wa Domayo

>Shirikisho la Soka (TFF) limedai linachunguza kitendo cha klabu ya Azam FC kumsajili kiungo Frank Domayo wakati akiwa kwenye kambi ya timu ya taifa mjini Mbeya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi usajili wa Domayo bado

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema linaendelea kusubiri ripoti kutoka kwa Wakili Wilson Ogunde aliyepewa jukumu la kuchunguza usajili wa kiungo Frank Domayo ‘Chumvi’ na kwamba hawatakurupuka kutoa uamuzi. TFF...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: ‘Maximo sajili ‘Domayo’ mpya’

>Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Yusuph ‘Tigana’ amemshauri kocha Marcio Maximo kumsajili kiungo mwenye uwezo wa Frank Domayo kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo.

 

11 years ago

TheCitizen

TFF to probe Domayo registration

>Plans are on for the Tanzania Football Federation (TFF) to investigate Mainland champions Azam FC for allegedly breaching registration regulations for players on national duty.

 

11 years ago

Mwananchi

FAT ah! TFF yateua Taifa Stars

>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limerudi enzi zake lilipokuwa linaitwa Chama cha Soka (FAT) kwa kuteua kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ bila kumshirikisha Kocha Mkuu, Kim Poulsen.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katika hili la Domayo, TFF inapepesa

HIVI sasa tunashuhudia timu mbalimbali za soka zikijipanga kwa ajili ya msimu unaokuja, hususan Ligi Kuu Tanzania Bara na hata mashindano ya kimataifa kwa wale ambao wamekata tiketi za kuiwakilisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yamng’oa Domayo Yanga

Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC wamepeleka pigo lingine kwa Yanga baada ya jana jioni kukamilisha rasmi usajili wa kiungo mkabaji Frank Domayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani