TFF yafuta usajili wa Domayo
![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSJSIYVxKBIWCjo0QFM8l2MSGaMPEPlTzuy2vC0XyQayaoPvTVfd9-8pXvWQ97e2L8sOGG7jrLWeTqt3g8-KVfg6/1.gif?width=650)
Kiungo mkabaji, Frank Domayo alipokuwa akisaini mkataba na timu ya Azam FC. Mohammed Mdose na Said Ally MAMBO yanazidi kuwa mambo kwenye usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara! Wakati Azam FC ikiwa imejihakikishia kumtumia kiungo mkabaji, Frank Domayo kuanzia msimu wa 2014-2015, tamko zito limetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya usajili huo. TFF imetoa tamko kuwa mpaka sasa bado haiutambua usajili wa kiungo huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 May
TFF yachunguza usajili wa Domayo
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Usajili wa Domayo waivuruga TFF
SIKU moja baada ya uongozi wa Azam FC kunyaka saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Frank Domayo ‘Chumvi’ akiwa kambini Tukuyu, Mbeya, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXzOyOj2djRSEE2oZzIj4n*JOWTicpHK33T21sdh6whEGy0I2F-efFIhpeei*qtEEi6NiYlt2O74parj8X50TlzW/domayo.jpg?width=650)
TFF YATEUA WAKILI KUCHUNGUZA USAJILI WA DOMAYO AZAM FC
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Uchunguzi usajili wa Domayo bado
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema linaendelea kusubiri ripoti kutoka kwa Wakili Wilson Ogunde aliyepewa jukumu la kuchunguza usajili wa kiungo Frank Domayo ‘Chumvi’ na kwamba hawatakurupuka kutoa uamuzi. TFF...
10 years ago
Mwananchi21 Nov
USAJILI: ‘Maximo sajili ‘Domayo’ mpya’
11 years ago
TheCitizen02 May
TFF to probe Domayo registration
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Katika hili la Domayo, TFF inapepesa
HIVI sasa tunashuhudia timu mbalimbali za soka zikijipanga kwa ajili ya msimu unaokuja, hususan Ligi Kuu Tanzania Bara na hata mashindano ya kimataifa kwa wale ambao wamekata tiketi za kuiwakilisha...
11 years ago
BBCSwahili10 Apr
Tanzania yafuta usajili wa shirika moja
10 years ago
StarTV23 Feb
NACTE yafuta usajili wa vyuo 13, 60 vyashushwa hadhi.
Na Grace Semfuko,
Dar es Salaam.
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi NACTE limefuta usajili wa vyuo 13 na kuvishusha hadhi vyuo 60 ambavyo vimekiuka sheria ya usajili.
Vyuo vingine vimebainika kutoa mitaala isiyosajiliwa na vyuo hivyo na vingine kutokuwa na sifa za kuendesha mafunzo ya ufundi.
Baraza hilo lenye mamlaka ya kusimamia elimu ya ufundi nchini limesema bado linavifanyia uchunguzi vyuo vingi nchini ili kuona kama vina tija ya kuendelea kutoa elimu inayokidhi mahitaji ya soko...