Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yafuta usajili wa shirika moja

Shirika la Sisi kwa Sisi Foundation limeshutumiwa na serikali kwa kueneza vitendo vya mapenzi ya jinsia moja katika jamii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) yafuta usajili wa dawa aina Tano za binadamu - Tanzania

Mamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) - TFDA Bwana H. Sillo
Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA imefuta usajili wa dawa za binadamu aina Tano na kuamuru ziondolewe sokoni na vituo vyote vya kutolea huduma za afya mchini kote mara moja kutokana na kubainika kuwa na viambata vinavyosababisha maradhi sugu ikiwemo kiharusi, na wakati mwingine kusababisha vifo.
Dawa zinazotajwa kufutiwa usajiri na kuzuia uingizwaji kuwa ni pamoja na dawa za kutibu maralia ya maji na vidonge aina ya...

 

11 years ago

GPL

TFF yafuta usajili wa Domayo

Kiungo mkabaji, Frank Domayo alipokuwa akisaini mkataba na timu ya Azam FC. Mohammed Mdose na Said Ally
MAMBO yanazidi kuwa mambo kwenye usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara! Wakati Azam FC ikiwa imejihakikishia kumtumia kiungo mkabaji, Frank Domayo kuanzia msimu wa 2014-2015, tamko zito limetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya usajili huo. TFF imetoa tamko kuwa mpaka sasa bado haiutambua usajili wa kiungo huyo...

 

10 years ago

StarTV

NACTE yafuta usajili wa vyuo 13, 60 vyashushwa hadhi.

Na Grace Semfuko,

Dar es Salaam.

 

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi NACTE limefuta usajili wa vyuo 13 na kuvishusha hadhi vyuo 60 ambavyo vimekiuka sheria ya usajili.

 

Vyuo vingine vimebainika kutoa mitaala isiyosajiliwa na vyuo hivyo na vingine kutokuwa na sifa za kuendesha mafunzo ya ufundi.

 

Baraza hilo lenye mamlaka ya kusimamia elimu ya ufundi nchini limesema bado linavifanyia uchunguzi vyuo vingi nchini ili kuona kama vina tija ya kuendelea kutoa elimu inayokidhi mahitaji ya soko...

 

10 years ago

Mwananchi

TFDA yafuta usajili wa dawa zenye madhara

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefuta usajili na kuzuia uingizaji na uuzaji wa dawa tano za binadamu baada ya kubainika kuwa na madhara.

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YAFUTA USAJILI NA KUDHIBITI ZAIDI MATUMIZI YA BAADHI YA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

 Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari katika kueleza maamuzi ya TFDA kufuta usajili na kubadili matumizi ya baadhi ya dawa nchini. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa TFDA Makao Mkuu
 Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezifutia Usajili wa Dawa tano  za Binadamu kutokana na kuwepo makosa mbalimbali.         Hayo yameelewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi mkuu   TFDA Bwana Hiiti...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja Kenya wataka usajili

Jamii ya wapenzi wa jinsia moja Kenya inataka serikali kulazimishwa kulisajili shirika lao walilozindua kutetea masilahi yao.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Na Steve Nyerere Waukwaa Ubalozi Kwenye Shirika Moja la Ndege

Mastaa wakongwe  wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB, na Steven Mengere 'Steve Nyerere’ wamekuwa mabalozi wa shirika la utoaji  huduma za usafiri wa anga la JAMBO AVIATION LTD.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram Steve Nyerere aliweka picha hizo hapo juu zikiwaonyesha wawili hao wakiwa wamebeba mfano ya ndege za shirika hilo na kuandika.

“Nasema asanteni leo nimekuwa BALOZI wa JAMBO AVIATION LTD, Ni mimi na JB”

Hongereni sana.

 

10 years ago

Bongo5

Zari hawezi kuhamia Tanzania moja kwa moja — Diamond

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja. Diamond a.k.a Baba Tiffah licha ya kuwa amekuwa akitoa ahadi ya kufunga ndoa na Zari bila kusema lini, amesema kuwa hakuna […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani