JB Na Steve Nyerere Waukwaa Ubalozi Kwenye Shirika Moja la Ndege
Mastaa wakongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB, na Steven Mengere 'Steve Nyerere’ wamekuwa mabalozi wa shirika la utoaji huduma za usafiri wa anga la JAMBO AVIATION LTD.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram Steve Nyerere aliweka picha hizo hapo juu zikiwaonyesha wawili hao wakiwa wamebeba mfano ya ndege za shirika hilo na kuandika.
“Nasema asanteni leo nimekuwa BALOZI wa JAMBO AVIATION LTD, Ni mimi na JB”
Hongereni sana.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)
9 years ago
Michuzi
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege
Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
11 years ago
CloudsFM26 Sep
STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni.
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco,Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Shirika la ndege la Etihad lachangisha Dirham Milioni moja kwa ajili ya “We Care Yemen†na shule mbili nchini Kenya
Dr Khawla Salem Al Saaedi, Mwakilishi wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Umoja wa Wanawake na aAya, akiwazawadia timu kutoka Nepal kwa kushinda michuano ya kimataifa ya mavazi.
Kamati ya Michezo na Jamii wakiwa na baadhi ya wachezaji wa soka.
Kamati ya Michezo na Jamii wakiwa na baadhi ya washiriki wa michuano ya kimataifa ya mavazi.
Shirika la ndege likiwatunuku timu ya soka kutoka Serbia kama bingwa wa michuano ya kombe la dunia la mashirika ya ndege upande wa soka.
Abu Dhabi-based...
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
11 years ago
Michuzi
News Alert: Helkopta ya Polisi yapiga mweleka wakati wa Kuruka kwenye Uwanja wa Ndege wa J.K. Nyerere jijini Dar leo

11 years ago
Vijimambo30 Sep
MTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN ILIYOTUA KWA DHARURA BAADA YA GURUDUMU LA MBELE KUPATA PANCHA
Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka Houston Texas kuelekea Baltimore siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania Baraka Daudi ilibidi itue kwa dharura kwenye uwanja huo wa Houston baada ya rubani wa ndege hiyo kugundua gurudumu la mbele (norse gear) kutokua na upepo. Baada ya rubani kudua hitilafu hiyo aliwasiliana na mnara wa kuongozea ndege wa uwanja huo wa Houston wajaribu kuingalia ndege hiyo kwa ukaribu zaidi...