Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC

Frank Domayo akisaini mkataba na timu ya Azam FC. (Picha na Bin Zubeiry) Kiungo Frank Domayo aliyekuwa akikipiga Yanga SC leo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara ikiwa ni siku moja tangu mshambuliaji wa Yanga na nahodha wa timu ya Taifa ya Burundi, Didier Kavumbagu kujiunga na klabu hiyo. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Domayo naye anukia Yanga

Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BAADA ya kuelezwa kuwa straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu yupo mbioni kurejea kwenye kikosi cha Yanga, habari nyingine ni kuwa kiungo wa Azam FC, Frank Domayo, naye anadaiwa kuwa kwenye njia ya kurejea kurudi katika klabu yake hiyo ya zamani. Domayo ambaye alijiunga na Azam mwanzoni wa msimu huu akitokea Yanga, inadaiwa kuwa amekuwa katika hali tata ya kutokuwa...

 

11 years ago

GPL

Mrithi wa Domayo atua leo mchana

Frank Domayo aliyetimkia Azam FC. Na Sweebert Lukonge
KIUNGO wa Yanga, Omega Seme, aliyerudishwa hivi karibuni katika klabu hiyo akitokea Prisons ya jijini Mbeya alikokuwa akicheza soka kwa mkopo, anatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo. Inaelezwa kuwa kiungo huyo atakwenda klabuni moja kwa moja na jukumu kubwa atakalopewa ni kuziba pengo lililoachwa na Frank Domayo aliyetimkia Azam FC. Hivi karibuni, Domayo ambaye alikuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kiungo Mzimbabwe atua Simba

KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Justice Majabvi aliwasili jana na kwenda moja kwa moja katika kambi ya Simba iliyopo Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

KIUNGO EMERSON DE OLIVEIRA ATUA BONGO

KIUNGO mkabaji Emerson De Oliveira Neves Rouqe kutoka nchini Brazil amewasili hivi punde katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea Brazil. Kiungo huyo ametua majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya shirika la Afrika Kusini akiwa sambamba na kocha Marcio Maximo na kiungo Andrey Coutinho. Kiungo huyo amekuja kwa ajili ya kufanya majaribio katika klabu ya Yanga na endapo atafuzu moja kwa moja...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yamng’oa Domayo Yanga

Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC wamepeleka pigo lingine kwa Yanga baada ya jana jioni kukamilisha rasmi usajili wa kiungo mkabaji Frank Domayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Domayo amshtua Omog Azam

Azam FC imepiga bao faida ya kuwajali wachezaji wao baada ya kupona kiungo wao mkabaji, Frank Domayo ambaye sasa amerudi kwa kasi ya ajabu.

 

9 years ago

Mwananchi

Domayo, Niyonzima, Migi kuikosa Yanga, Azam

Timu za Yanga na Azam zitakosa huduma ya viungo wao mahiri katika mchezo baina yao, kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

TFF YATEUA WAKILI KUCHUNGUZA USAJILI WA DOMAYO AZAM FC

Frank Domayo. KUTOKANA na tukio lililotokea jana Aprili 30 mwaka huu kwenye kambi ya timu ya Taifa (Taifa Stars) iliyopo Tukuyu mkoani Mbeya likihusisha usajili wa baadhi ya timu, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemteua Wakili Wilson Ogunde kuchunguza mlolongo mzima wa tukio hilo. Taarifa ya TFF imesema kwamba, baada ya kukamilisha uchunguzi wake, Wakili Ogunde ataishauri TFF kuhusu hatua za kisheria na...

 

11 years ago

GPL

Kiungo wa Azam arudishwa India

Na Nicodemus Jonas
KIUNGO wa Azam, Samir Haji Nuhu, amepata pigo kwa mara nyingine baada ya kuanguka juzi na kutonesha jeraha lake la goti na sasa atalazimika kupelekwa tena India kwa ajili ya  matibabu. Hii itakuwa mara ya pili kwa kiungo huyo kutibiwa India kutokana na kusumbuliwa na jeraha hilo kwa muda mrefu tangu msimu wa 2011/12. Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Azam, Jafari Idd Maganga, alisema tayari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani