KIUNGO EMERSON DE OLIVEIRA ATUA BONGO
![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FqJnOXGG2KEkeNvR-jrTbT5vqmPvHfZoCtQe*dm5YQ*bBL4dpMOSY141Df3WPpKFyBRsbgqkv4QHAbvOYrFMFbG/BREAKINGNEWS.gif)
KIUNGO mkabaji Emerson De Oliveira Neves Rouqe kutoka nchini Brazil amewasili hivi punde katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea Brazil. Kiungo huyo ametua majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya shirika la Afrika Kusini akiwa sambamba na kocha Marcio Maximo na kiungo Andrey Coutinho. Kiungo huyo amekuja kwa ajili ya kufanya majaribio katika klabu ya Yanga na endapo atafuzu moja kwa moja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UQ22ksITao8/VHxuKjkl2SI/AAAAAAAG0kk/Ikvu1rj3ZHU/s72-c/emerson_310_230.jpg)
Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera amwaga wino Yanga
![](http://2.bp.blogspot.com/-UQ22ksITao8/VHxuKjkl2SI/AAAAAAAG0kk/Ikvu1rj3ZHU/s1600/emerson_310_230.jpg)
Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera Neves Roque pichani kushoto akisaini mkataba leo jijini Dar,wa kutumikia Klabu ya Young Africans,Kulia ni Afisa Habari wa klabu hiyo Baraka Kizuguto.
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikimpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo Emerson De Oliveira, watani zao Simba wamemtema rasmi mshambuliaji Paul Kiongera.
Emerson amesaini mkataba huo baada ya benchi la ufundi chini ya Mbrazil Marcio Maximo kuridhika na kiwango chake na sasa ataitumikia timu hiyo ya Jangwani.
Emerson...
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Emerson atua, Maximo amsifia
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kiungo Mzimbabwe atua Simba
KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Justice Majabvi aliwasili jana na kwenda moja kwa moja katika kambi ya Simba iliyopo Zanzibar.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpGx9JpJ7m7KyRErXfInaUu7cAB9B0uXK3vw3fy8sWXD0kVR0RQWoHP8mPPEWWJbOKswZTIH8-xffeSCQxdE07GZ/domayo.jpg?width=650)
KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC
11 years ago
GPL13 Jul
DIAMOND ATUA BONGO, APOKELEWA KWA SHANGWE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h8PF925u8DE/U_ZaIrU08RI/AAAAAAAGBQc/JSIfk5-UO20/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
luis figo atua bongo usiku huu
![](http://1.bp.blogspot.com/-h8PF925u8DE/U_ZaIrU08RI/AAAAAAAGBQc/JSIfk5-UO20/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-k0NYdxIbNdg/U_ZaIrcDkOI/AAAAAAAGBQY/WoTDsygsPKw/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
11 years ago
GPLMWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA, REMMY WILLIAMS ATUA NCHINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm67bs*LZB*9v5qcysJZ2FuHQOdnrUKL3JoNFHdIrrIkToBSjhq4x-mfLJwUPBsJ6*6jM1GxpnlA8hgIaNJedeee/1.jpg?width=650)
JOSE CHAMELEONE ATUA BONGO, KUPAGAWISHA MAISHA CLUB
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-TSLcMhVquo0/VIi1wfuku5I/AAAAAAAG2Zo/Ybp3JuPJNu4/s72-c/IMG-20141211-WA0001.jpg)
IDRIS SULTAN ATUA BONGO KUTOKA BOG BROTHER AFRICA
![](http://2.bp.blogspot.com/-TSLcMhVquo0/VIi1wfuku5I/AAAAAAAG2Zo/Ybp3JuPJNu4/s640/IMG-20141211-WA0001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NAaScCRjREg/VIi6ldmcQJI/AAAAAAAG2ag/PsuWnlgjvzY/s640/IMG-20141211-WA0007.jpg)