Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiungo wa Azam arudishwa India

Na Nicodemus Jonas
KIUNGO wa Azam, Samir Haji Nuhu, amepata pigo kwa mara nyingine baada ya kuanguka juzi na kutonesha jeraha lake la goti na sasa atalazimika kupelekwa tena India kwa ajili ya  matibabu. Hii itakuwa mara ya pili kwa kiungo huyo kutibiwa India kutokana na kusumbuliwa na jeraha hilo kwa muda mrefu tangu msimu wa 2011/12. Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Azam, Jafari Idd Maganga, alisema tayari...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Simba yatua kwa kiungo Azam

Kiungo wa ulinzi wa timu ya soka ya Azam FC, Jabir Aziz Stima (kulia) Na Hans Mloli
USAJILI Simba unazidi kuwa na sura mpya kila kukicha baada ya sasa uongozi wa timu hiyo kuulizia huduma ya kiungo aliyeachwa na Azam FC hivi karibuni, Jabir Aziz ‘Stima’.

Stima pamoja na wachezaji wenzake, Samir Nuhu na Malika Ndeule, waliachwa na Azam baada ya kumaliza mikataba yao klabuni hapo mwishoni mwa msimu uliopita...

 

11 years ago

GPL

KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC

Frank Domayo akisaini mkataba na timu ya Azam FC. (Picha na Bin Zubeiry) Kiungo Frank Domayo aliyekuwa akikipiga Yanga SC leo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara ikiwa ni siku moja tangu mshambuliaji wa Yanga na nahodha wa timu ya Taifa ya Burundi, Didier Kavumbagu kujiunga na klabu hiyo. ...

 

9 years ago

GPL

MBASHA ARUDISHWA KORTINI TENA

Brighton Masalu SIKU chache baada ya kushinda kesi ya tuhuma za kubaka iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha anatarajiwa kupandishwa tena katika korti hiyohiyo kwa madai mengine, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni kwa sharti la kutotajwa jina,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Kibadeni arudishwa Simba

Rais wa Simba, Evans Aveva amemrudisha kundini kocha wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni kwa kumteua kuwa makamu wa mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya klabu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh Issa Ponda arudishwa rumande

Kiongozi wa Taasisi ya Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameendelea kusota rumande baada ya kesi yake kuahirishwa kwa mara nyingine kwa kuwa jalada la kesi yake, halijarudi kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam lilikoitishwa kwa ajili ya mapitio.

 

10 years ago

GPL

Kisiga arudishwa Simba, afukuzwa mazoezini

Kiungo wa Simba, Shaban Kisiga. Said Ally na Ibrahim Mussa
UONGOZI wa Klabu ya Simba, umeamua kumrudisha kiungo wake, Shaban Kisiga katika kikosi cha timu hiyo baada ya kumsimamisha kwa muda, kisa kikiwa ni utovu wa nidhamu na kucheza chini ya kiwango katika michezo iliyopita ya ligi kuu. Kiungo huyo mkongwe ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar, alirejea katika kikosi cha timu hiyo jana (Jumanne) ambacho kilikuwa...

 

11 years ago

GPL

OMBI LA PONDA LATUPILIWA MBALI, ARUDISHWA SEGEREA

Ombi la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda limetupiliwa mbali na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
ilipotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), akidai kuwa ombi hilo halikuwa na msingi kisheria. Kesi hiyo iliyosikilizwa kwa saa 1 na dakika 40 ilitolewa uamuzi na Jaji Augustine… ...

 

11 years ago

GPL

Kapombe apanda ndege kwenda Ufaransa, ashushwa Nairobi, arudishwa Dar

Shomari Kapombe. Khadija Mngwai na Nicodemus Jonas
SAKATA la Shomari Kapombe kukwama kwenda nchini Ufaransa alipokuwa akicheza soka la kulipwa linaashiria hali ni tete zaidi. Imeelezwa kuwa Kapombe ambaye alirejea nchini kuitumikia Taifa Stars, Desemba, mwaka jana, kisha kukwama kurudi Ufaransa, alipanda ndege kwa ajili ya kuelekea nchini humo lakini alipofika Nairobi nchini Kenya, akashushwa, kisha akarejeshwa Tanzania....

 

11 years ago

GPL

ALIYEMTESA MTOTO KWA SIKU 730 AKOSA DHAMANA, ARUDISHWA RUMANDE

WAKILI wa kujitegemea, Yasinta Rwechungura (44) anayekabiliwa na kesi ya kumtesa, kumpiga na kumnyanyasa mfanyakazi wake wa ndani, Merina Mathayo (15) amezidi kusota rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana Julai 11, 2014 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani