Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yatua kwa kiungo Azam

Kiungo wa ulinzi wa timu ya soka ya Azam FC, Jabir Aziz Stima (kulia) Na Hans Mloli
USAJILI Simba unazidi kuwa na sura mpya kila kukicha baada ya sasa uongozi wa timu hiyo kuulizia huduma ya kiungo aliyeachwa na Azam FC hivi karibuni, Jabir Aziz ‘Stima’.

Stima pamoja na wachezaji wenzake, Samir Nuhu na Malika Ndeule, waliachwa na Azam baada ya kumaliza mikataba yao klabuni hapo mwishoni mwa msimu uliopita...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kiungo wa Azam arudishwa India

Na Nicodemus Jonas
KIUNGO wa Azam, Samir Haji Nuhu, amepata pigo kwa mara nyingine baada ya kuanguka juzi na kutonesha jeraha lake la goti na sasa atalazimika kupelekwa tena India kwa ajili ya  matibabu. Hii itakuwa mara ya pili kwa kiungo huyo kutibiwa India kutokana na kusumbuliwa na jeraha hilo kwa muda mrefu tangu msimu wa 2011/12. Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Azam, Jafari Idd Maganga, alisema tayari...

 

11 years ago

GPL

KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC

Frank Domayo akisaini mkataba na timu ya Azam FC. (Picha na Bin Zubeiry) Kiungo Frank Domayo aliyekuwa akikipiga Yanga SC leo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara ikiwa ni siku moja tangu mshambuliaji wa Yanga na nahodha wa timu ya Taifa ya Burundi, Didier Kavumbagu kujiunga na klabu hiyo. ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiungo Mzimbabwe asaini Simba

Kiwango kizuri kilichoonyeshwa na kiungo Mzimbabwe aliyekuwa kwenye majaribio, Justice Majabvi kimeifanya klabu ya Simba kumpa mkataba wa miaka miwili.

 

10 years ago

Habarileo

Kiungo Mzimbabwe atua Simba

KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Justice Majabvi aliwasili jana na kwenda moja kwa moja katika kambi ya Simba iliyopo Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

DRFA,YAMLILIA KIUNGO WA ZAMANI WA SIMBA NA TAIFA STARS-CHRISTOPHER ALEX

Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimeeleza kusikitishwa kwake na kifo cha mchezaji kiungo wa zamani wa klabu ya simba na timu ya taifa-Taifa Stars,Christopher Alex  maarufu kama Masawe,kilichotokea leo (februari 22 mwaka huu),katika Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Mwenyekiti wa DRFA,Almas Kasongo,amemuelezea marehemu Christopher kuwa ni mchezaji aliyevuma enzi za uhai wake na kuiletea heshima kubwa klabu yake ya Simba na Taifa Kwa ujumla,pale walipofanikiwa kuisukumiza nje ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yang’ara, Simba kwa KCC

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC imeanza vyema mashindano hayo baada ya kuichapa Spice Stars kwa mabao 2-0, wakati leo Simba wataonyeshana kazi na KCC kwenye Uwanja wa Amaan.

 

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 2 - 1 KUTOKA KWA SIMBA

 Kikosi cha Azam FC kilichoanza leo. (Picha na Francis Dande)Kikosi cha Simba.Waamuzi wa mchezo wa Simba na Azam wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote kabla ya mchezo. Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akichuana na mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla.
Himid Mao akijaribu kumzuia Said Ndemla wa Simba.mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla akimtoka Himid Mao. Emmanuel Okwi akichuana na beki wa Azam FC, Agrey Moris.Agrey Moris na akichuana na Emmanuel Okwi. Kocha wa Simba, Goran...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani