Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DRFA,YAMLILIA KIUNGO WA ZAMANI WA SIMBA NA TAIFA STARS-CHRISTOPHER ALEX

Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimeeleza kusikitishwa kwake na kifo cha mchezaji kiungo wa zamani wa klabu ya simba na timu ya taifa-Taifa Stars,Christopher Alex  maarufu kama Masawe,kilichotokea leo (februari 22 mwaka huu),katika Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Mwenyekiti wa DRFA,Almas Kasongo,amemuelezea marehemu Christopher kuwa ni mchezaji aliyevuma enzi za uhai wake na kuiletea heshima kubwa klabu yake ya Simba na Taifa Kwa ujumla,pale walipofanikiwa kuisukumiza nje ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Christopher Alex azikwa katika makaburi ya Nkuhungu,Dodoma

MAMIA ya wakazi wa Dodoma jana walijitokeza kumzika kiungo wa zamani wa timu ya Simba na timu ya taifa, Christopher Alex Massawe (38) aliyezikwa katika makaburi ya Nkuhungu mjini hapa huku wachezaji wenzake akiwemo Ulimboka Mwakingwe na Boniface Pawasa wakiangua kilio.Awali katika kuaga mwili wa marehemu, mchezaji aliyecheza naye Simba, Juma Kaseja aligeuka kuwa kivutio kwa mamia ya waombolezaji waliojitokeza nyumbani kwa mama wa Alex, Martha Matonya, eneo la Nkuhungu Bandeko. Tukio hilo...

 

10 years ago

Michuzi

Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliekuwa Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, leo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.Marehemu Marsh amezikwa kwenye makaburi ya Igoma nje kidogo ya Jiji la Mwanza.Picha zote na G Sengo Blog.Familia ya Marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, ikiwa kwenye huzuni kubwa baada ya kuondokewa na mpendwa wao,wakati wa ibada maalum ya kumuada...

 

11 years ago

Michuzi

matapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele (pichani) anawaarifu ndugu, jamaa na marafiki pamoja na jamii ya Tanzania kwa jumla kwamba email address yake ya maya@yahoo.comimeibwa na matapeli na kuanza kutumika vibaya (phishing) kwa kudai kuwa yeye yupo Ukraine na amekumbwa  na matatizo hivyo anaomba msaada wa pesa haraka.


Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 50 YA TFF YAWATUZA NYERERE, MKAPA MWINYI, SIMBA NA YANGA, STARS YA ZAMANI NDANI


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa tuzo kwa kuwatunuku wanamichezo mbalimbali wakiwemo Marais wote wa awamu nne za uongozi wa Tanzania akiwemo baba wa taifa, marehemu Julius K Nyerere.
Uamuzi wa TFF kuwatuza watu hao wakiwemo waandishi wa habari, wachezaji wa zamani wa timu ya taifa, waandishi wa habari na wengineo ni kutambua mchambo wao katika maendeleo ya soka nchini wakati Fifa inatimiza miaka 50.

VIONGOZI WA KITAIFA:
1. Rais Msataafu Mwl. Julius K Nyerere
2. Rais Mstaafu Ali Hassan...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba inavyopotea Taifa Stars

Kukosekana kwa wachezaji wa Simba kwenye kikosi cha kwanza cha Taifa Stars kunaelezwa kuwa ni matokeo ya kutokuwa na ushindani wa namba kwenye kikosi chake ikilinganisha na wapinzani wake, Yanga na Azam.

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yaifaidisha Simba SC

>Mechi ya kirafiki ya kimataifa baina ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’  na  Benin, Oktoba 12 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam itaifaidisha Simba inayokabiliwa na majeruhi wengi katika kikosi chake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Baadhi ya vigogo Simba, Yanga watajwa Kuihujumu Taifa Stars

taifa-stars-640x360

Kikosi cha Taifa stars.

Na Mwandishi wetu

SIRI za kushindwa kwa timu ya soka ya taifa kufuzu katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).

Siri hiyo ya kukwama kwa timu ya taifa kwenye michuano ya (AFCON), inadaiwa kutokana na   hujuma zilizofanywa na kundi la watu wachache kwa lengo la kumwonesha Rais wa TFF, Jamal Malinzi hawezi kuongoza shirikisho hilo na kuipa mafanikio Stars.

Wahujumu hao wa soka nchini, wanadaiwa kutoka katika vilabu vikubwa vya soka nchini ambao kwa sasa majina yao...

 

11 years ago

Michuzi

DRFA yaipongeza Simba

CHAMA Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kimeipongeza klabu ya Simba kwa kufanya uchaguzi wa amani na kupata viongozi wake wapya watakaoingoza kwa miaka minne.
Mwenyekiti wa DRFA Almas Kassongo, amema kuwa wana imani na uongozi huo mpya wa Rais Evans Aveva, Makamu wake Geofrey Nyange ‘Kaburu’ na Kamati yake ya utendaji.
“Sisi DRFA tunawapongeza viongozi wapya waliochaguliwa kuiongoza klabu ya Simba kwa kipindi cha miaka minne, katika uchaguzi uliofanyika Juni 29 mwaka huu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani