Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba inavyopotea Taifa Stars

Kukosekana kwa wachezaji wa Simba kwenye kikosi cha kwanza cha Taifa Stars kunaelezwa kuwa ni matokeo ya kutokuwa na ushindani wa namba kwenye kikosi chake ikilinganisha na wapinzani wake, Yanga na Azam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yaifaidisha Simba SC

>Mechi ya kirafiki ya kimataifa baina ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’  na  Benin, Oktoba 12 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam itaifaidisha Simba inayokabiliwa na majeruhi wengi katika kikosi chake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Baadhi ya vigogo Simba, Yanga watajwa Kuihujumu Taifa Stars

taifa-stars-640x360

Kikosi cha Taifa stars.

Na Mwandishi wetu

SIRI za kushindwa kwa timu ya soka ya taifa kufuzu katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).

Siri hiyo ya kukwama kwa timu ya taifa kwenye michuano ya (AFCON), inadaiwa kutokana na   hujuma zilizofanywa na kundi la watu wachache kwa lengo la kumwonesha Rais wa TFF, Jamal Malinzi hawezi kuongoza shirikisho hilo na kuipa mafanikio Stars.

Wahujumu hao wa soka nchini, wanadaiwa kutoka katika vilabu vikubwa vya soka nchini ambao kwa sasa majina yao...

 

10 years ago

Michuzi

DRFA,YAMLILIA KIUNGO WA ZAMANI WA SIMBA NA TAIFA STARS-CHRISTOPHER ALEX

Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimeeleza kusikitishwa kwake na kifo cha mchezaji kiungo wa zamani wa klabu ya simba na timu ya taifa-Taifa Stars,Christopher Alex  maarufu kama Masawe,kilichotokea leo (februari 22 mwaka huu),katika Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Mwenyekiti wa DRFA,Almas Kasongo,amemuelezea marehemu Christopher kuwa ni mchezaji aliyevuma enzi za uhai wake na kuiletea heshima kubwa klabu yake ya Simba na Taifa Kwa ujumla,pale walipofanikiwa kuisukumiza nje ya...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars, Harambee Stars hoi

Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani