Baadhi ya vigogo Simba, Yanga watajwa Kuihujumu Taifa Stars
Kikosi cha Taifa stars.
Na Mwandishi wetu
SIRI za kushindwa kwa timu ya soka ya taifa kufuzu katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).
Siri hiyo ya kukwama kwa timu ya taifa kwenye michuano ya (AFCON), inadaiwa kutokana na hujuma zilizofanywa na kundi la watu wachache kwa lengo la kumwonesha Rais wa TFF, Jamal Malinzi hawezi kuongoza shirikisho hilo na kuipa mafanikio Stars.
Wahujumu hao wa soka nchini, wanadaiwa kutoka katika vilabu vikubwa vya soka nchini ambao kwa sasa majina yao...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Vigogo Simba, Yanga mawindoni
JUDITH PETER NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
VIGOGO wa soka nchini, Simba na Yanga, watashuka dimbani leo kusaka pointi muhimu kwenye viwanja tofauti ikiwa ni mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) mzunguko wa pili unaoelekea ukingoni.
Yanga ambao Jumapili iliyopita waliichakaza FC Platinum ya Zimbabwe kwa mabao 5-1 katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, watakuwa wenyeji wa Kagera Sugar kwenye uwanja huo.
Simba nao wamesafiri hadi...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
NANI MTANI JEMBE??: Baadhi ya Tambo za Waigizaji Mashabiki wa Simba na Yanga
Leo ikiwa ni ile siku iliokkwa ikisubiliwa kwa hamu kujua nani ni MTANI JEMBE. Hizi ni baadhi ya tambo za waigizaji wa filamu ambao ni mashabiki wa timu hizi mbili za Samba na Yanga ambazo leo jioni zitavaana ili kujua nani ni mtani jembe.kumbuka mwaka jana Simba ndio alieibuka mtani jembe..Leo Jeeee?!!!!
Soma maneno walioandika mitandaoni kuelekea mechi hii.
Jb: Hakuna miujiza aliyezoea kufungwa na leo atafungwa.poleni sana yebo yebo...(picha akiwana jezi yake nyekundu)
Riyama: Kelele za...
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Kashfa ya ESCROW vigogo watajwa TZ
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Taifa Stars yaifaidisha Simba SC
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Simba inavyopotea Taifa Stars
9 years ago
StarTV14 Aug
Taifa Stars yaanza mazoezi bila wachezaji wa Yanga, Azamfc.
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.
Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EM0Smvgtzvk/VOnVvhZ7X3I/AAAAAAAHFNY/bPBVubypRFg/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
DRFA,YAMLILIA KIUNGO WA ZAMANI WA SIMBA NA TAIFA STARS-CHRISTOPHER ALEX
![](http://2.bp.blogspot.com/-EM0Smvgtzvk/VOnVvhZ7X3I/AAAAAAAHFNY/bPBVubypRFg/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
Mwenyekiti wa DRFA,Almas Kasongo,amemuelezea marehemu Christopher kuwa ni mchezaji aliyevuma enzi za uhai wake na kuiletea heshima kubwa klabu yake ya Simba na Taifa Kwa ujumla,pale walipofanikiwa kuisukumiza nje ya...