Christopher Alex azikwa katika makaburi ya Nkuhungu,Dodoma
MAMIA ya wakazi wa Dodoma jana walijitokeza kumzika kiungo wa zamani wa timu ya Simba na timu ya taifa, Christopher Alex Massawe (38) aliyezikwa katika makaburi ya Nkuhungu mjini hapa huku wachezaji wenzake akiwemo Ulimboka Mwakingwe na Boniface Pawasa wakiangua kilio.
Awali katika kuaga mwili wa marehemu, mchezaji aliyecheza naye Simba, Juma Kaseja aligeuka kuwa kivutio kwa mamia ya waombolezaji waliojitokeza nyumbani kwa mama wa Alex, Martha Matonya, eneo la Nkuhungu Bandeko. Tukio hilo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
DRFA,YAMLILIA KIUNGO WA ZAMANI WA SIMBA NA TAIFA STARS-CHRISTOPHER ALEX
.jpg)
Mwenyekiti wa DRFA,Almas Kasongo,amemuelezea marehemu Christopher kuwa ni mchezaji aliyevuma enzi za uhai wake na kuiletea heshima kubwa klabu yake ya Simba na Taifa Kwa ujumla,pale walipofanikiwa kuisukumiza nje ya...
10 years ago
Vijimambo24 Feb
Mwili wa marehemu MEZ B umepumzishwa katika makaburi ya WAHANGA, DODOMA

Amin






10 years ago
MichuziMWENYEKITI wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila azikwa kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa

Mhe. Deo Filikunjombe akiongea wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo



11 years ago
GPL
BABA WA BISHOP AZIKWA MAKABURI YA TEGETA
10 years ago
GPLAMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
Vijimambo12 Nov
HAMIS KIYUMBU AMIGOLAS AZIKWA MAKABURI YA KISUTU

10 years ago
GPL
MKE WA KITIME AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR
10 years ago
GPL
SHEM KARENGA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
Vijimambo05 Dec
MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
