Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI

1Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI‏

Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias...

 

10 years ago

Michuzi

MARAEHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI

1
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu...

 

10 years ago

GPL

MKE WA KITIME AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR

Muonekano wa kaburi la marehemu Janeth Joan Kitime baada ya kuzikwa siku ya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Mwanamuziki mkongwe, John Kitime akiweka maua katika kaburi la mke wake.…

 

11 years ago

GPL

MPIGAPICHA WA MLIMANI TV AAGWA, AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR

Picha ya marehemu Bw. Maximilian Ngobe, enzi za uhai wake. Mke wa marehemu (mwenye kilemba cheupe) akimuaga mumewe, Maximilian Ngobe. Ndugu na jamaa wa karibu wakimfariji…

 

10 years ago

Michuzi

Marehemu Shem Ibrahim Kalenga azikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu,jijini Dar

 Jeneza lenye Mwili wa aliewahi kuwa mwanamuziki mkongwe hapa nchini,Marehemu Shem Ibrahim Kalenga ukiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam tayari kwa mazishi.Marehemu Kalenga alifariki Dunia jana katika hospitali ya Amana,Ilala alikokuwa akipatiwa Matibabu.Umati Mkubwa uliojitokeza kwenye mazishi ya Marehemu Shem Ibrahim Kalenga wakijumuika pamoja kubeba Jeneza wakati wa Mazishi yaliyofanyika jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
Picha zaidi bofya hapa

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR

Familia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku ya alhamisi tarehe 22/5/2014 saa nane mchana katika hospitali ya TMJ. 

Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.

Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato...

 

10 years ago

Dewji Blog

UPDATES ya msiba wa Ndg Sebastina Mgimba: Mwili wa marehemu wawasili nchini leo, maziko kufanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni

IMG_7879  Ndugu pamoja na jamaa wa marehemu Sebastian Mgimba aliyefariki dunia nchini Malaysia wakibeba jeneza lenye mwili wa Marehemu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam eneo la Mizigo ukitokea nchini Malaysia. Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Sebastian Mgimba aliyefariki nchini Malaysia likiingizwa katika gari maalumu la kubebea jeneza katika uwanja wa Ndege wa Dar Es Salaam katika eneo la kutolea na kusafirishia mizigo mara baada ya mwili huo kuwasilini Nchini Leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani