MARAEHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Dec
MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
10 years ago
GPLMAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
10 years ago
GPLMKE WA KITIME AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR
11 years ago
GPLMPIGAPICHA WA MLIMANI TV AAGWA, AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR
11 years ago
GPLBABA WA BISHOP AZIKWA MAKABURI YA TEGETA
10 years ago
Vijimambo12 Nov
HAMIS KIYUMBU AMIGOLAS AZIKWA MAKABURI YA KISUTU
10 years ago
GPLAMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
GPLSHEM KARENGA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
CloudsFM25 Feb
Christopher Alex azikwa katika makaburi ya Nkuhungu,Dodoma
MAMIA ya wakazi wa Dodoma jana walijitokeza kumzika kiungo wa zamani wa timu ya Simba na timu ya taifa, Christopher Alex Massawe (38) aliyezikwa katika makaburi ya Nkuhungu mjini hapa huku wachezaji wenzake akiwemo Ulimboka Mwakingwe na Boniface Pawasa wakiangua kilio.Awali katika kuaga mwili wa marehemu, mchezaji aliyecheza naye Simba, Juma Kaseja aligeuka kuwa kivutio kwa mamia ya waombolezaji waliojitokeza nyumbani kwa mama wa Alex, Martha Matonya, eneo la Nkuhungu Bandeko. Tukio hilo...